Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Hatuja punjwa Akili mzee..ila tulizidiwa Akili wakati waarabu na wakoloni wanakuja kuchunguza Bara letu tukadhani wamekuja kwa nia njema bila kutafakari kwa kina ujio wao..Wazee na mababu zetu niseme na kuwaita walikuwa VILAZA, wapumbavu, wajinga na wakakosa umoja waka anza kusalitiana wao kwa wao...yani Machief wetu walishiriki kutoa taarifa nyingi sana na kuwapa wakoloni Kama taarifa za kiulinzi, majeshi,imani zao, walitoa taarifa zote muhimu na kuwa ambia waarabu na wazungu...Sasa baada ya waarabu na wazungu kupata taarifa zote muhimu wakarudi kujipanga sasa kwa Uvamizi..wakajua udhaifu wetu ni kukosa umoja hivyo wakazidi kutugawa na kutugombanisha na kuchochea chuki baina yetu...Mfano mdogo tu Mangi mandara wa wachaga alishirikiana na wajerumani ili tu amzidi Mangi Meli kiutawala ..Huu si ujinga huu.!!!...

Wazungu wao ni wajanja sana toka zamani waliweka tofauti zao pembeni wakaungana kwenye kila nyanja kiuchumi, kiulinzi, kifedha..ndio maana leo hii kuna Umoja wa Nchi za Ulaya (EU),wana umoja wa kujihami NATO,makao yote makuu ya nchi zote yapo kwao United Nations (UN),Benki kuu ya dunia(WB), mashirika makubwa yote ya kielimu, kiafya yapo kwao....

Waafrika wenye Akili walikuwepo kina Muammar Gadaffi, Nkurumah, wanaharakati weusi kina Malcolm x, Martin Luther king Jr, Muhammad Ali, walitoa michango mikubwa sana kutaka AFRICA iungane tuwe kitu kimoja, sema kutokana na Akili za waafrika wengi zilivyo za kijinga, kimaskini, zenye chuki binafsi,ukabila,uchu wa madaraka Zinachangia kuzima na kukatisha tamaa za Waafrika wachache wenye Akili na upeo kuendeleza mapambano ya Afrika kuungana...mfano ni sisi wenyewe watanzania tulimpinga sana Magufuli kisa tu ali ingilia uhuru wa wahujumu uchumi,ajira hewa.. vibaraka wa wazungu....Kwa ufupi ni kwamba mchawi wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe tangu zamani.
Mzungu anajua hatuna akili anatutumia wenyewe kuangamiza watu wetu
 
achana na hao kina gadafi, mtu mweusi km mtu mweusi hajafanya kitu chochote kilicholeta mapinduzi dunia hii, tumesoma akina pythagoras, archimedes mpk kizazi cha kina newton na enstein.....hukuti mtu mweusi huko, mtu mweusi hana hata historia ile ya kusema mwaka68 BC kulikua na watu somewhere tanganyika wakifanya 1,2.3 ila jamii zingine maendeleo yao unaweza kuyatrace tangu muda huo na bbu zao waliandika hizo historia ambazo zipo mpk leo, tatizo la tu mweusi limeanzia mbali kwann huyu mtu mweusi ye hana hata historia na hajashiriki katika mapinduzi makubwa ya sayansi na hisabati? ana tabu gan huyu?
Unaifahamu historia ya kemet/Misri , amabayo hapo kabla ilijulikana land of blacks Ambayo haijachakachuliwa na hao white supremacists?

Unafaham kemet/Misri ilitawala Dunia Kwa miaka mingi uko nyuma? Unafaham wa Arabu ni Wafamizi North Africa na Egypt ya Leo?

Unafam pyramids zilizopo Misri, Sudani, na Ethiopia zimejengwa na watu weusi, na Hadi Leo hawana jibu zilijengwa vipi, na unafaham hesabu ilitumika kujenga hizo pyramids?

Unafaham Kemet/Misri ilistarabika mapema zaidi ya Ulaya? Unafaham wana Filosofia wa Magharibi walikua wakisafiri kuja kujifunza Kemet/misri?


Unakifahamu kitabu Cha the book of the coming forth by day/ book of the dead , Kiliandikwa na watu weusi?

Unafaham maktaba ya Alexandria iliyochomwa moto na wazungu wakishirikiana na ndugu zao wa arabu, kupoteza asili ya mtu mweusi na yote aliyo yafanya hapo kabla, na wakaiba vitabu vyote vilivyokua vinaelezea sayansi na teknolojia wanayotumia hivi sasa kufanya uvumbuzi, na vilivyobaki wakavitia moto?
Unafaham kuanguka kwa kemet/ misri ndio ulikua mwanzo wa Afrika kutawaliwa na kuchukuliwa watumwa?

Unafaham wazungu wanavyotumia nguvu kubwa kupindisha historia ya Mtu mweusi Ili aendelee kujiona Duni, na awatawale milele?

Unafaham gunduzi zinazofanyika Misri ya Leo kwenye pyramid of Giza hazitoki hadharani Hadi ziwe white washed?

Usijidharau ndugu, hapo kabla tulitawala kuanzia Afrika, Amerika Hadi Ulaya,

tawala zinainuka na kuanguka, zama za hao westerners zinaenda kufika ukingoni, Afrika inanyanyuka tena.
 
Kwa hiyo Ujanja na Ujinga unapimwa kwa Mtu kuweka Ulinzi na mwengine kutoweka??
Sio kama wewe Mtoa mada na wanaokusapoti ndio akili zenu hazina akili??

Tukirudi kwa hao matajiri aliyekwambia hawalindwi na kujilinda nani?? Ulishawahi kumuona Bill Gates anatembea sokoni?? Unajua hizo sehemu ambazo wewe unaoneshwa kwenye Tv akiwa ametembelea kulishafanyiwa uchunguzi na ulinzi kabambe wiki nzima??

Njoo na hoja nyingine inayoonesha Muafrica hana akili na huyo Mkoloni wako anazo.
 
Unaifahamu historia ya kemet/Misri , amabayo hapo kabla ilijulikana land of blacks Ambayo haijachakachuliwa na hao white supremacists?


Usijidharau ndugu, hapo kabla tulitawa kianzia Afrika, Amerika Hadi Elaya, tawala zinainuka na kuanguka, zama za hao westerners zinaenda kufika ukingoni, Afrika inanyanyuka tena.
mkuu mi ht sijadharau nilitoa tu hoja na ni jambo jema nawe umeweka hoja pia, mimi niko interested sn na historia ya mtu mweusi
 
Back
Top Bottom