Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Nani kaificha historia yetu! Ni mzungu anaye tutengenezea curriculum yetu!
Hebu ondoka na huo mtazamo! Tuna miaka 60 toka tupate uhuru! Tuna maprofesa wengi tu! Bado tunasema historia yetu imefichwa!
Kweli Tuna safari!
 
Watakamatwa na kuswekwa ndani.
 
Dj Khaled 🤣🤣
 
Mkuu cassavaleaves mimi namalizia mjadala kwa kusema kwamba, Afrika yetu ina shida kubwa mno. Naomba nimalize huu mjadala wetu mzuri wa leo, ambao umekuwa na maswali mazito na muhimu kabisa kuulizwa. Binafsi huwa naamini kwamba mbali na matatizo ya kiuchumi na kisiasa ambayo ndiyo tunayazingatia sana, tatizo kubwa la Afrika liko kiroho (Spiritually) kuliko kimwili.

Kuna baadhi ya mambo ya hovyo hufanywa na waafrika, They defy common precepts of decency....Ndiyo tunapata viongozi kama Bokassa, Musseveni, Mobuthu n.k
 
Wanubi Ni wanajeshi hatari mno kabila akitoka mjeda humo Ni nouma hata mjerumani alimtumia.

Mkuu big up mno
 
Mkuu ulipoenda kwenye tatizo la Sprituality maybe you are right. Tutafutate pembeni, labda tunaweza kupeana mawazo zaidi

Nahangaishwa mno mimi binafsi kwa nini tuko hapa. Nimesoma nadharia kadhaa za maendeleo ya mwanadamu zimeshindwa kunipa majibu!

Nimefanya kazi kwenye International NGO zinazosema zinaondoa umasikini Africa nikaona ni Scam! Sana umasikini niliondolewa mimi,sio hao tunaowafanyia warsha na kuzunguka na MA Land cruisers! Nikaona nakuwa mnafiki! Mzungu hakufika hapo kwa Warsha na semina! Na kuchimbiwa vyoo na kupewa vyandalua!
Tuwasiliane Mkuu
 
I
Lakini mitandao ya pono ndio inayoongozwa kutazamwa! Mtu anakuuliza swali,tena graduate, kitu ambacho angepata tu kwa kutumia siju y
Inatakiwa elimu ibadilishwe isiwe ya kukaririshana like Elon musk akapingana na mfumo wa elimu hii ya dunia iliyopo..wachina wanatumia kalkuleta since primary. Why niumize kuzidisha wakati tayari Kuna teknolijia Ni Kama eti nitembee na mguu dar to mwanza ili nikomae niyajue mazingira ya nchi yangu.
 
Kiukwl unayo sema ni kwl ila tukija kweny iyo ishu ya ulinzi kwa watu wa kubwa mi kwaupande wangu naona nisawa kwa mfano kifo Cha raisi wa kwanza wa Zanzibar , yeye alifyatuliwa risasi alipokuepo hakuwa na ulinzi. Ila kwa issue ya akili naona waafrika akili tunazo ila shida tumejawa na uvivu , wivu , ulimbukeni , misifa na kuhitaji kuonekana.
 
Inavyodaiwa, sehemu muhimu sana ya ubongo wa Binadamu inayojulikana kama "Modula Oblangata" ya Waafrika waliyo wengi (siyo wote) ni duni ukilinganisha na Wazungu na Watu wa ngozi nyeupe.
Inawezekana Mkuu, lazima kuna kitu ambacho Waafrika hatunacho, karne ya leo hatujui la kufanya! Hata kujifunza toka kwa hao waliotupita!
 
Unajua mambo mengine yangefanywa na watu wasio na elimu wala tusingeshangaa
Hebu niambie kiongozi wa serikali kwanza kukubali mradi wa kuchimbiwa vyoo vya shimo tu! Halafu kwenda kuupokea na kufanya uzinduzi wa kupokea vyoo, ni akili kweli?
Hao ni wasomi! Kuna miradi kwa akili za kawaida tu ungesema hapana! Utamlaumu mzungu kweli! Huo ndio upumbavu tunaosema Mwafrika ana tatizo!
 
Nyie mlio ingudua hiyo historia ya mwafrika mpaka Sasa mmeleta mageuzi gani ya kisiasa, kijamii,kiuchumi,kielimu, kisayansi na Teknolojia ?

Cha kushangaza ni kwamba Babu aliweza kutengneza Mapiramidi Misri ambayo mpaka Sasa imekuwa shida kujua hesabu zake lakini mjukuu hata kutengeneza soksi,kijiko, hawezi si mambo ya ajabu aya

Ujinga wetu ndo umetufanya tuwepo hapo na kufeli kwetu mwisho tumekuwa tunatoa lawama kwa watu ambao sio kabisa ooh mabeberu alafu hao hao ndo wanakuja kuleta pesa za kujenga matundu ya choo mashuleni ndani ya miaka 60 ya Uhuru tunashindwa kujenga matundu ya vyoo na hili tuseme sababu ya historia kufichwa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizi story tu hakuna cha kemet wala cement.

Kama afrika ilifikia maendeleo ya namna hiyo ilikuwaje tena ikaja kutawaliwa na kufanyiwa utumwa!?

Wazungu/waarabu wamekuja hapa afrika hata nguo tulikuwa hatuna tunaishi kama wanyama tu na mila za ajabu ajabu sijui kukeketana nk. Jamii ile ilikuwa backward sana kusema iliwahi kutawala dunia ni hadithi za paukwa pakawa
 
Mkuu iliniumiza sana kuona tunapewa msaada wa kuchimbiwa mashimo ya choo! Ungeuza vieti moja tu la serikali ungechimba vyoo vingapi! Niliona tunatukanwa na wafadhili, niliona tunawajinga serikalini kukubali upuuzi huo.

Kwangu mimi niliona ni kama mtu anataka kunisaidia kununua underwear ya mke wangu! Hata kama na shida kiasi gani, hilo ni jukumu langu.

Huu ndio upofu wa Mwafrika tena msomi!
 
Wazungu huwezi kuwa tambua msomi na hasiye msomi, Viongozi waki zungu tofauti na Viongozi wetu waki Tanzania, nilifanyaga kazi sekta ya utalii, utakuta kiongozi mzungu ni katibu mkuu au mkurugenzi au waziri uko kwao lakini akija holiday Tanzania huwezi jua kama kwao ni viongozi wakubwa, Tunaongea nao tunacheka tuna piga story kibao na ukiitaji mfano maji ya kunywa anaenda bar kukuchukulia na kukuletea mpaka unashangaa yani huyu mgeni kiongozi mkubwa anafata maji na kuniletea

Sasa kimbembe viongozi wetu wakija hoteli wapo siriasi kumbe hawana lolote kichwani yani viongozi wetu washamba sana yani siyo vijana wala wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…