Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Kwahiyo kukataa kuitwa "boss" na kutokuwa na walinzi tayari ndio kipimo chako cha wazungu kuwa na akili kuliko waafrika?
Tukio la juzi la kuapishwa King Charles wa Uingereza mmeoana, hakuwa na mpambe wa kumsogezea daftari la mikataba, kiti alikisogeza mwenyewe.
Umeiona ile video yake jinsi alivyointeract na watumishi wake? Mitandaoni imezungumziwa sana. Angefanya vile mtu mwafrika angetukanwa sana na watu mfano wenu.
 
Hao Waafrika unaoishi nabkukutana nao wakoje?Umewahi kukutana na mimi?Tulia.Bado haujakutana na watu.
 
Umewahi kumuona Bill gate akitembea na mabaunsa? Acheni ulimbukeni na ushamba aisee
Kwahiyo upo hapo unaamini kabisa kuwa Bill Gates hana walinzi? Yaani katika nchi ambayo bunduki nje nje Bill Gates asiwe na walinzi?


Au shida yako ni "mabaunsa"?
 
Angalia hata football players utacheka 🤣🤣 wakishuka kwenye BUS au ndege au mitaani, mara huyu kavaa earphones mara mahereni n.k, wengine wanamiliki magari ya kifahari 🤣🤣🤣 ushamba ni mzigo mammae

Upande wa singers/wasanii, mara huyu kakuvalia mahereni, mikufu, mabangiri, earphones/Headphones, buti kubwa wakati yeye anavaa size ndogo, magari ya kifahari n.k🤣🤣🤣 ni ulimbukeni na ushamba/mashkolo mageni bhabhaa
 
Sitaki kukubaliana na ww ila kwa hoja yako nashawishika kukubaliana na ww,huku msanii akishatoa single tuu mabodigadi wa kutosha
 
Mkuu kuna mambo madogo sana ngazi ya chini kabisa kuanzia level ya familia, unaona kabisa watu namna ya watu wanavyoishi na kutenda, wewe unaangalia juu ila hata huku chini kabisa hali za hovyo, je na watu familia zao zinaongozwa na mataifa ya nje😂

Turawasingizia tu hawa wakina pua ndefu, ila tatizo kubwa kuliko yote ni ubinafsi.

Kila mtu anawaza kuiba iba, siku tukiacha ubinafsi waafrika tutapiga hatua kubwa sana.

Ubinafsi una maana pana na kubwa.

Usipokua mbinafsi huwezi kufanya mambo haya.

-Huwezi kutoa wala kupokea rushwa
-Huwezi kuwa na upendeleo kwa ndugu na jamaa
-Huwezi ingiwa na tamaa za kuiba iba
-Huwezi kung'ang'ania madaraka
-Ni rahisi kuwajibika pale unapokosea.
 
Mtu mweusi ndio chimbuko na asili ya hii dunia, kiasili ndiye aina ya binadamu bora zaidi ya aina zote za binadamu, tatizo ndiye binadamu mbinafsi zaidi mwoga na kwenye kuridhika Kwa jambo Dogo tu pia asiyetafakari mbali.
[emoji23][emoji23] yaani umeanza vizuri tu ila umeharibu
 
Mbona Mark Zuckerberg ana magari mengi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…