Utoto wa Fei Toto utawasumbua wachezaji wa Kizanzibari

Feisal mimi naona hana kosa kwavile yeye kaona fursa mbele yake na mkataba umemruhusu kufanya hivyo. Badala ya kuangaika na Feisal, nguvu zingetumika kufanya replacement ya zaidi ya Feisal. Wangeongea na uongozi wa SBS kwaajili ya kumsajili yule Gomez. Ni zaidi ya Feisal. Halafu la pili wajifunze kuwa na mikataba yenye masilahi kwa timu sio upumbavu walioufanya
 
Nyinyi ndiyo mnajiona wajanja kwa kuwaita watoto wenu "Junior au Beyonce" majina ambayo siyo ya 'kishamba'
Sijawahi kuona nyamizi mwenye akili, wapo pale ng,ambo Tabora hawaeleweki wanafanya nini
 
Eti kuna perfomance na kuna perfomance ya kushawishi

Perfomance ya kushawishi ndio nini?

Labda nikuulize wewe

Katika hicho kipindi ambacho Feisali kavunja mkabata ili aondoke Yanga. Kuna kiwango gani cha kushawishi alichokionesha kinacho mtofautisha na kipindi chote kabla ya kuvunja mkataba?
 
Basi mtengenezeni ipielo boy
 
Thamani ya mchezaji huwezi ukaifanyia reference na thamani ya nyanya juu ya fungu.

Na ndio maana Yanga walikubali kumuongezea mshahara wake kumfanya aendelee kubaki

Unafikiri wao walikuwa wapumbavu hawajui wanachokifanya kuwa mkataba walioandikishana haukuwa na makubaliano ya kiwango kuwa juu mpaka kuamua kumpa kile anachokitaka??
 
Utakuwa na utu na ubinadamu wa aina gani kwa watu wanaokunyonya na wasiothamini uwezo wako mkubwa?
 
Mm nilidhani najadiliana na mtu mwenye akili umbe naongea na kilaza hapa? hebu rudia kusoma ulicho kiandika alafu ujitathimini akili yako.


Kinacho mmbeba fei ni uwezo wake binafisi na sio kwa sababu eti ni bora kisa anacheza yanga na ndio maana yanga haikuweza kumtengeneza Nchimbi kuwa kama fei au yipe kuwa kama mayele.

Uwezo wa fei angeweza kuuonesha hata kwenye timu nyingine kama simba na Azam.

Kuhusu timu kumtunza ni wajibu wa timu kumtunza mwajili wake ambaye ni mchezaji na wala sio hisani.
 
Simba na yanga ni wahuni, sasa huu uhuni uendelee kama namna ya kulipiziana visasi vinavyoweza kutuletea marekebisho.Si vizuri kuvifuatilia vitu vya kitanzania kwa umakini, vitakuvuruga.
 
Hivi unaongelea ushabiki au? Mchezaji ana mkataba wa miaka 2 mbele,club imegoma kumuuza, kwanini asisubiri mkataba wake uishe ndio aondoke bure kama hajaridhika na maslahi?
Hivi nyinyi mashabiki wa utopolo mnataka tuwaelewesheje?
Ameondoka kwa sababu kwenye mkataba kuna kipengele kinamruhusu kuvunja mkataba pale atakapo taka.
 

Hao waliomtaka ndio wameshawishika na kiwango chake. Sasa unauliza swali kwangu mimi au uwaulize hao wanaomtaka?
 
Mpira una mengi.

Huwezi kuongeza mishahara ghafla bila kuwa na bajeti na fedha.

Kama mchezaji anaona anapata asichostahili Yanga basi akatafute kwingine atakapo ridhika.
Ndio maana kaondoka
 
Ndio muwaambie viongozi waache kumng'ang'ania
 
Vilabu vyetu magumashi tena sana ila muda mwingine vinakosewa ila kutokana na historia yao jamii inakua haipo upande wao,feisal anademand maslahi zaidi huku ikiwa mkataba wake wa awali haujaisha,hilo si tatizo,shida inakuja feisal akijua bado ana mkataba lkn yeye anaondoka eneo la kazi imagine klabu ingemfukuza fei kila mdau wa soka angekua upande wa fei na sasa hivi ni kama fei ndio anaifukuza klabu lkn bado jamii iko upande wa fei,sometimes tuangalie na upande wa pili wa shilingi pia,njia za kuboresha mkataba au kuvunja mkataba zote zipo kwenye ule mkataba,fei anatakiwa afuate njia sahihi za kuvunja mkataba sidhani kama Yanga watamkatalia lkn si kama anavyofanya sasa hivi
 
Na katumia kipengele kilichoko kwenye huo huo mkataba kuondoka Mimi sioni kisa lake
 
Umeamua kutukana kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao waliomtaka ndio wameshawishika na kiwango chake. Sasa unauliza swali kwangu mimi au uwaulize hao wanaomtaka?
Nami nimekuuliza nikiwa najua unaujua mpira na unaweza ukatoa rate ya ubora wa mchezaji kiusahihi

Kitu gani kinacho husiana na ubora ulichokiona kimeongezeka kwa Feisali sasa hivi ambacho awali kabla ya mkataba hakikuwepo?
 
Uzi unamzungumzia Feitoto halafu unataka mdau azungumzie mambo ya Simba kukosa makombe sijui CEO kujiuzulu hivi unakwama wapi [emoji23][emoji23]
 
Mkataba wake unayazungumzia haya yote au ni mihemko yako tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…