Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani unafananisha tukio la kurdi na Palestina vs Israel!?Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji.
Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
View attachment 3139961
Umeanza vibaya!! Kwamba Israel ndio anafanyiwa ugaidi? Kwamba kukalia ardhi ya mtu ni halali ila akitaka kukutoa ndio inaitwa ugaidi? Hivi tuna akili gani waTanzania....Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa
We kweli kilaza kwamba unaujua ukorofi wa wakurd utafikir umeishi nao. Hicho wanachopigania kinatofauti gani na hamas sasa. Maana nao wanadai nchi yao.Yani unafananisha tukio la kurdi na Palestina vs Israel!?
Mkuu siku hizi unapoteza mantiki katika mada zako.
Hao wakurdi hadi Iraq,Iran na Pakistan hawapendwi.
Wakurdi ni jamii ya watu wakorofi kila wanapoenda wanasababisha fujo.
Wanaotega mabomu huko Iraq ni wakurdi.
Ukiwauliza sababu ya kufanya yote hayo hawana majibu.
Hamas unaowaita magaidi sababu kuu ya kuishambulia Israel ni kutetea ardhi yao.
Usisahau kuwa kabla Hamas haijavamia Oktoba 7 aliyeanza ni Israel kuifanyia fujo Gaza na Westbank Agosti.
Mkuu kama hufahamu mambo nyamaza tu.
Hao wakurdi hata Syria haiwataki.
Na kama haujui jeshi la Syria linaunga mkono Uturuki kuwashambulia wakurdi.
Wakurd wanapitia hali mbaya kama tu Wapalestina, na pengine mbaya zaidi maana wameipitia kwa miaka mingi. Waturuki walihamia hapo waliwakuta Wakurd. Leo wanawapiga mabomu. Ni jamii kubwa kabisa ya watu duniani ambayo haina taifa lao wenyewe.Yani unafananisha tukio la kurdi na Palestina vs Israel!?
Mkuu siku hizi unapoteza mantiki katika mada zako.
Hao wakurdi hadi Iraq,Iran na Pakistan hawapendwi.
Wakurdi ni jamii ya watu wakorofi kila wanapoenda wanasababisha fujo.
Wanaotega mabomu huko Iraq ni wakurdi.
Ukiwauliza sababu ya kufanya yote hayo hawana majibu.
Hamas unaowaita magaidi sababu kuu ya kuishambulia Israel ni kutetea ardhi yao.
Usisahau kuwa kabla Hamas haijavamia Oktoba 7 aliyeanza ni Israel kuifanyia fujo Gaza na Westbank Agosti.
Mkuu kama hufahamu mambo nyamaza tu.
Hao wakurdi hata Syria haiwataki.
Na kama haujui jeshi la Syria linaunga mkono Uturuki kuwashambulia wakurdi.
Uko sahihi mkuu, wakurd wanaonewa sanaWakurd wanapitia hali mbaya kama tu Wapalestina, na pengine mbaya zaidi maana wameipitia kwa miaka mingi. Waturuki walihamia hapo waliwakuta Wakurd. Leo wanawapiga mabomu. Ni jamii kubwa kabisa ya watu duniani ambayo haina taifa lao wenyewe.
Ndio hapo utambue hizi vita zinajua na maslahi ya watu. Ukiona hivyo ujue hapo maslahi ya mtu mwenye nguvu hayajaguswa.Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji.
Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
View attachment 3139961
Wanaua wanawake na watoto ama wanapigana na wanajeshi wanaume wenzao? Hili ndio jambo la kwanza linalo Discriminate vita vingi Duniani na kinachoendelea Israel.Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji.
Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
View attachment 3139961
Armenia ni Nchi ya Kikristo na Mostly ni Nchi za kiarabu ndio zinai Support, Azerbaijan ni Nchi ya Kiisilamu na inakuwa Supported na Israel kuwapiga hao wakristo. Kama akili yako imejaa Udini taratibu inaoza bila mwenyewe kujitambua mwisho wa siku taratibu unaanza tu kuwa zombie la media bila uwezo wa kufikiria.Uko sahihi mkuu, wakurd wanaonewa sana
Hahah uturuki ingekuwa ni nchi ya kikristu ndio ungeona malalamiko mitandaoni
ungesikia vilio; ooh tunaonewa, wanapiga wazee na vitoto. kobaz ni laana. unaonewaje nawe upo TZ?Uko sahihi mkuu, wakurd wanaonewa sana
Hahah uturuki ingekuwa ni nchi ya kikristu ndio ungeona malalamiko mitandaoni
Hii hotuba yako imepokewa kikamilifu na inaungwa mkono na Msikiti sababu uongo ni ibada ya Allah.Yani unafananisha tukio la kurdi na Palestina vs Israel!?
Mkuu siku hizi unapoteza mantiki katika mada zako.
Hao wakurdi hadi Iraq,Iran na Pakistan hawapendwi.
Wakurdi ni jamii ya watu wakorofi kila wanapoenda wanasababisha fujo.
Wanaotega mabomu huko Iraq ni wakurdi.
Ukiwauliza sababu ya kufanya yote hayo hawana majibu.
Hamas unaowaita magaidi sababu kuu ya kuishambulia Israel ni kutetea ardhi yao.
Usisahau kuwa kabla Hamas haijavamia Oktoba 7 aliyeanza ni Israel kuifanyia fujo Gaza na Westbank Agosti.
Ustadhi Allah awe nawe peponi pimp house akulipe wanawake 100 firdaus umekidhi vigezo malipo ni papuchi za Allah ambazo anazisoft soft kila sikuMkuu kama hufahamu mambo nyamaza tu.
Hao wakurdi hata Syria haiwataki.
Na kama haujui jeshi la Syria linaunga mkono Uturuki kuwashambulia wakurdi.
Wakurdi walikua sehemu ya Anatolia ama Persia/Iran.Wakurd wanapitia hali mbaya kama tu Wapalestina, na pengine mbaya zaidi maana wameipitia kwa miaka mingi. Waturuki walihamia hapo waliwakuta Wakurd. Leo wanawapiga mabomu. Ni jamii kubwa kabisa ya watu duniani ambayo haina taifa lao wenyewe.
Binafsi sielewi, inasemekana Israel kakalia ardhi ya Palestina. Hivi ardhi ya Israel Iko wapi? ili arudi kwao?Umeanza vibaya!! Kwamba Israel ndio anafanyiwa ugaidi? Kwamba kukalia ardhi ya mtu ni halali ila akitaka kukutoa ndio inaitwa ugaidi? Hivi tuna akili gani waTanzania....
Anachofanya Uturuki, Israel na putin ni yaleyale tu.