Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Kwan wapalestina kuna mtu anawataka, hao hawazaminiki ndomaana misri kafunga mipaka yake wakurdi wanayo haki kudai nchi yao ya KurdistanYani unafananisha tukio la kurdi na Palestina vs Israel!?
Mkuu siku hizi unapoteza mantiki katika mada zako.
Hao wakurdi hadi Iraq,Iran na Pakistan hawapendwi.
Wakurdi ni jamii ya watu wakorofi kila wanapoenda wanasababisha fujo.
Wanaotega mabomu huko Iraq ni wakurdi.
Ukiwauliza sababu ya kufanya yote hayo hawana majibu.
Hamas unaowaita magaidi sababu kuu ya kuishambulia Israel ni kutetea ardhi yao.
Usisahau kuwa kabla Hamas haijavamia Oktoba 7 aliyeanza ni Israel kuifanyia fujo Gaza na Westbank Agosti.
Mkuu kama hufahamu mambo nyamaza tu.
Hao wakurdi hata Syria haiwataki.
Na kama haujui jeshi la Syria linaunga mkono Uturuki kuwashambulia wakurdi.