wakurdi ni kabila kama makabila mengine tu, majority of them wamesambaa duniani huko, wapo wengi sana ulaya na america. wanachopigania tangu enzi ni kujitawala, uhuru, wanajiita Kurdistan kama nchi yao, lakini uturuki kwa miaka mingi inapinga icho kitu, hawataki kuwapa uhuru. cha kushukuru, miaka nenda rudi pamoja na uwezo wa kivita, turkey ameshindwa kuwasambaratisha. ni watata na wanampiga uturuki mara nyingi tu. na wakurdi ndio kabila la Ibrahim kama haujui, wamesambaa uturuki, syria, iraq na iran.