Kuhusu hao wazungu.
Wakati wanakuja kutokana Ulaya walipokelewa kwa Amani hapo Palestina usisahau
View attachment 3140387
Wakati wanashushwa kwenye Meli hilo bango lao wanawaambia wapalestina Wajerumani wamevunja Familia zetu tafadhali mzivunje matuamaini yetu.
Wapalestina waliwapokea na mpaka Ardhi walinunua, asilimia 6 ya Ardhi ya Wapalestina Ashkenazi walinunua kihalali.
Hilo halikuwatosha walikua na mambo yao wenyewe kisiri siri taratibu wakaanza kupora Ardhi ya Palestina hadi leo.
Je hili ni sawa na wapalestina ambao wapo south America? Sijawahi sikia Wapalestina wa South America waki chukua Ardhi ya wazawa na kuwa toa kwenye nyumba zao, badala yake Vice versa is true na wapalestina wamelisaidia hilo bara toka Bara la Giza kama Africa mpaka kufikia uchumi mkubwa leo hii.
So ni vitu viwili tofauti unavyotaka uvifananishe hali ya kuwa havifananishiki.