Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Wewe endelea kujifanya ni mwananchi wa Tehran........utaenda kulinda kaburi la ayatollah...........mpaka bomu linaenda kuwekwa kwenye makazi yenye ulinzi ya serikali .........ujue watu wamechoka hawaitaki hiyo serikali...........zingatia neno kuichoka
 
Kweli upo low sana kwenye International Politics/Geopolitical, nenda kasome vizuri ujifunze kuhusu Cyprus, Greece na Turkey.
Sipo low mzee nipo deep sana.
Ukitaka tujadili pia.
Mtu kutoka Turkiye kwenda Cyprus au Greece haihitaji visa wala passport and vise versa.
Cyprus kituruki ni sehemu ya lugha yao.
Kuna mpaka vyuo vimejengwa na Uturuki ndani ya Cyprus.
Ukitaka nakutajia.
 
hata wafanyaje, hakuna mtu wa kumshinda Mungu wa Israel. wanapoteza muda tu.
 
Hapo ndio unakwama,yaani unafananisha kumficha mtu mmoja mmoja na kushinda full-scale war?
Wewe sasa ndio unakwama
Israhell kashinda full scale war ipi unayoisemea?
Mpaka sasa vita inapiganwa hakuna mshindi
Naomba nisisitize tena vita inayoendelea ghaza israhell ataua ataharibu sana ila kushinda beto yake yakukomboa watu wake na kuiangamiza hamas hili asahau narudia tena asahau
Jana tu makombora yamerushwa kutokea kaskazini ya ghaza
 
Suala la kuweka bomu hilo suala la kiintelijensia wewe huwezi kulijua wamefanikishaje,je kama wametumia pandikizi wao myahudi anayeishi Iran?
Maana Iran kuna Jewish community ya Watu laki 8.
Yote ya yote Narudia kukwmambia,hata kama Ayatollah atakua anahesabika muda wake basi ataondolewa na wairan wenyewe ila SIO KWA KUINGILIWA NA MATAIFA YA NJE.Zingatia hiyo kauli niloandika kwa herufi kubwa.
Iran haipendi kuchochewa uasi inapenda ifanye uasi kwa matakwa yao.
 
Exactly Misri kwenye YOUM KIPUR alifukuza mwizi kimya kimya, yeye na Syria tu, ila angewashirikisha kina Saud na kundi lake asingefanikiwa kumpiga Israel kirahisi vile.
Ukiwashirikisha hao wanafiq hupindui yaani
 
Unatia aibu,nenda kajifunze na kusoma historia ya Cyprus, Greece na Turkey.
 
Kwani Israel anapigana vita kukomboa mateka au kuifurusha Hamas Gaza?
 
Ya vuzi atakuwepoo au
Atapigwa kama ngoma,maana kule Kuna watu hatarii sana,achana na kina cholak wanajua kufuga ndevu2 kujificha kwenye mapagale,kule watu wanakuja sebuleni kwako wanafanya Yao then wanayeyuka kama moshii,nakala anayo ayatollah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…