Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Atapigwa kama ngoma,maana kule Kuna watu hatarii sana,achana na kina cholak wanajua kufuga ndevu2 kujificha kwenye mapagale,kule watu wanakuja sebuleni kwako wanafanya Yao then wanayeyuka kama moshii,nakala anayo ayatollah
Hahaha kwenye conventional warfare without western interventional israel hana muda anashindwa mapema kabisa ila with western support atasurvive hio ni fact
 
Manowari ya Kivita ya US imetia nanga Mediterranean Ayatolah na Magaidi yake Uharo Debe.
Toka lini waajemi wakawa waoga sako lao Israel analijua ndio maana analia kuomba msaada kwa mabwana zake
 
Attachments

  • IMG_20240801_010243.jpg
    73.9 KB · Views: 1
Hahaha kwenye conventional warfare without western interventional israel hana muda anashindwa mapema kabisa ila with western support atasurvive hio ni fact
Hahahah!! Sure mkuu maana kule ukisema umtume atersi au kopuk zitarudi taarifa2 kuwa agent wao kukutwa hana kichwa mtaroni
 
Israhell meza ya duara haelewi israhell anaelewa vita tu
FM wa turkey kaliweka wazi hili baada ya kifo cha haniye
Alokua anaongoza mazungumzo wamemfyeka wanataka mazungumzo hawa?
anaongoza mazungumzo yap wakati alipewa ofa ya kuachia mateka kisha mamvo yaishie hapo ila alifanya hivyo ? waislam ni kizaz cha shetani , mnaamin ktk ukorofi na sio amani , mtateseka sana kwa akili hz
 
Unatia aibu,nenda kajifunze na kusoma historia ya Cyprus, Greece na Turkey.
Narudia kukwambia Cyprus ipo chini ya Uturuki.
Nenda karudie kusoma wewe,Cyprus ina raia wa asili mbili,kishiriki na kituruki,70% wakiwa ni Greek na 30% wakiwa ni Turkish.
Lugha zinazoongeleka Cyprus ni lugha kuu mbili kituruki na kuGiriki.
Ila uhusiano mkubwa wa kidiplomasia wa Cyprus imeegemea Uturuki.
Mkuu kama hujui sema sio lazima ukaze fuvu.
Leo hii ukitaka ku roam una roam from Cyprus-Greece-Turkiye bila passport wala visa.
 
Mbona nyie ndio mnaolialia kama mnashinda vita? Uliishasikia israel analialia. Israel hadi sasa ameua wapalestina elfu arobaini magaidi yakiwa 15,000.
 
kwan huo utawala uliiangiaj madarakan ? au uliwapigia kura ?mwaka 1979
 
Utampiga vipi mtu kajaza nuclear? Iran inabidi aende kwa tahadhari.
 
kwan huo utawala uliiangiaj madarakan ? au uliwapigia kura ?mwaka 1979
Eiwaaaah!
Sasa hapo umekuja penyewe,1979 kina Ruhollah Khomeini walipompindua Mohammed Shah Pahlavi walimpindua kwa internal influence sio kwa external interference.
Inamaana hata mwana mapinduzi mwingine akitokea basi ni kwa internal influence sio kwa external interference.
Kitu ambacho kinapingwa hapa ni uasi kuchochewa na ugeni ama wageni.
 
Hahaha kwenye conventional warfare without western interventional israel hana muda anashindwa mapema kabisa ila with western support atasurvive hio ni fact
huku waislam wakishirikian ncho ngap ? na unataka Israel abakie pekee yake , hv una akili kwel mkuu ? yaan Israel abakie pekee yake ila nyiny wavaa kobaz muungane
 
Israel haina hitoria ya kupigana na taifa moja siku zote Israel inapigana na mataifa ya kiarabu na kuyashinda.
 
ndo unaambiwa hapo wenye hawautaki huo utawala , ina maana likitokea la kutokea inaeza kuwa fursa kwa wenye nchi , sijui unabisha kitu gan bado
 
huku waislam wakishirikian ncho ngap ? na unataka Israel abakie pekee yake , hv una akili kwel mkuu ? yaan Israel abakie pekee yake ila nyiny wavaa kobaz muungane
Kwani kwenye ile vita yenu ya mchongo mnayoambiwa chachi ya six day war aliungana nanani?
Si alikua pekeake na jehova๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
ndo unaambiwa hapo wenye hawautaki huo utawala , ina maana likitokea la kutokea inaeza kuwa fursa kwa wenye nchi , sijui unabisha kitu gan bado
Possibility ni ndogo kwasababu itakapotokea vita nchi itasimama kama kitu kimoja ili kuliokoa taifa kwanza.
Kugombana waache wagombane wao ila sio wewe ulete chokochoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ