Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

 

Attachments

  • Screenshot_20240621-161324~2.jpg
    32.7 KB · Views: 8
Hiyo itakutoa roho wewe,achana na hiyo kitu,huwezi kushindana na hizo kitu.Ushauri wa bura nenda hospitali na umwambie dokta ujinga uliofanya atakusaidia,hata kama akikukon'gota konzi la kichwa kubali kwani unayumba🤭
 
Mkwe nakusalimia mkwe wangu...!
 
Usiwaze kijana ,Hilo Jambo dogo mno,meza azuma 2 kila siku kwa siku tatu,na dox 1*2 kwa siku 10 ,Kama Ni trichomoniasis ,unganisha na tinidazole 4*1 kwa siku tatu njoo baada ya muda utupe mrejesho
Wewe jamaa usije ukauwa,hata kama ni dokta huenda ungemshauri aje hospitali🤭
 
Nenda hospital ukapate tiba haraka, ukichelewa tu uume utakatika.

Tena ukienda hospital hakikisha na huo mshangazi wako unenda nao na wenyewe ukatibiwe ili asiendelee kuambukiza wengine.

Wanawake wengi wanatembea na magonjwa ya zinaa pasipo kujitambua.

Zaidi ya yote acha zinaa. Zinaa ni mbaya sana siyo tu kwa afya yako bali ni mbaya kwa roho yako pia. Dini zote duniani zinakemea zinaa. Acha zinaa, tafuta mke, oa tulia naye.
 

Bonyeza hiyo link ujisajili mwanachama mpya.
 
Huenda ikawa ni gono.

Wahi hospitali.
 
Piga hizo azuma siku 5. Hakikisha unakula kikamilifu na kunywa maji ya kutosha.
 
Tombeni mademu Wasafi na wasio Malaya kuna Siku Vimboro vyenu Vitaoza na Kukatika kabisa kwa kutokuwa makini.
Gono haiangalii usafi , inoculation tu tayari kitu na box. Cha muhimu ni uaminifu na kutumia zana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…