Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hilo ndilo swali la kujiulizaeeeh! Vinatumika kwa kazi gani
Nadhani kwa ushirikiana maana haiwezi kuwa kwa Mahitaji ya kisayansi maana unakatwa kidole ukiwa umevaa hata ndala,na wanatumia vile vifaa vya kukata bustani vipo Kama mkasieeeh! Vinatumika kwa kazi gani
Ninahisi ni Mahitaji ya Ushirikiana, wao wanakuja tu na gari au USD wanamkabidhi mteja na kuchukua kidole,sidhani Kama wametoa sababu wanavipeleka wapiHilo ndilo swali la kujiuliza
Ukirudi tu pitia Kigoma wakakutengeneze ili Kama Kuna side effects ziwarudie wao wazimbabweNimeona picha na video jamaa wanakabidhiwa ndinga kalii baada ya kukatwa vidole, nimeanza kuulizia nauli ya kwenda Zimbabwe ni pesa ngapi?🤣🤣🤣
Mkuu nchi zetu za Afrika sijui tumelaniwaNilijua masihara kumbe wapo live
Umasikini wetu ndio unaotufanya waafrica tudharaulike ivyoMkuu nchi zetu za Afrika sijui tumelaniwa