financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Maskini, watu wana dhambi sana, hivi si kosa la jinai kweli? Anaenda kufanyia nini? Serikali yao inachukuliaje hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mbona hela nzuri sana aisee, hii fursa ifike bongo tuichangamkie
Hata kama ni hiari yao ila ni Kosa. Kama huamini mtongoze mwanafunzi wa form four ukimpa mimba kasema mahakamani alikubali kwa hiari baada ya hapo jaji atakuachia uondokewanalazimishwa au hiari yao?
Pesa isinunue utu wako mkuuKwa pesa ya madafu kidole kidogo nakula 23,000,000 +! Hii ikija bongo watu tuishiwa vidole.
Ukikata kidogo na kubwa lao unakula kiiunua mgongo cha mstaafu mwandamizi kwa kikotoo cha zamani- sh. 39,609,375
Ni Kosa la jinai kibongo ila Zimbabwe sijui. Sijui wazungu wanaenda kufanyia nini. Serikali ipo kimya tuMaskini, watu wana dhambi sana, hivi si kosa la jinai kweli? Anaenda kufanyia nini? Serikali yao inachukuliaje hilo?
+waarabu na wahindiSijawahi kuwapenda wazungu,Wana mambo ya hovyo sana nyuma ya pazia.
SijuiInaamana zibwabwe sheria yao ni ruksa kuuza viungo sio
Hiari yakowanalazimishwa au hiari yao?
Siwapendi wazungu usinilazimishe+waarabu na wahindi
Hata mmSiwapendi wazungu usinilazimishe
Aisee umaskini ni mbaya sana, tutafute pesa kwa bidii kwa njia halaliNi Kosa la jinai kibongo ila zimbabwe sijui. Sijui wazungu wanaenda kufanyia nini. Serikali ipo kimya tu
Sijawahi kuwapenda wazungu,Wana mambo ya hovyo sana nyuma ya pazia.