Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Tena sanaMbona ku create account ni changamoto
Hatari sanaWewe waache tu, hawajui kuwa onsite verification ni moja ya hatua kwenye conveyancing. Watakuja kulio kilio kikuu.
Tumia computer au turn on auto rotate kwenye simu yakoMfumo wa kusearch viwanja ni mbovu kabisa na haupo responsive. Ukisearch kwenye taus hauoni kitu wala aina ya kiwanja.
Ila viwanja kwenye mfumo wa tausi vinanunuliwa kwa kasi ya RADI 🤣🤣
Viwanja viko bei ya juu mno na bado watu wananunua kwa kasi ya RADI 🤣🤣
Ukisearch kwenye taus hauoni kitu wala hakuna rangi tofauti na zilizopo kuonesha aina ya kiwanja unachosearch. Inabidi watu wa mfumo warekebishe. Pawe na rangi tofauti kama aina 5 au 15 kulingana na matumizi ya kiwanja.Tumia computer au turn on auto rotate kwenye simu yako
Kweli muda wa kulipia ni mchache sana.. vinwaja vingi vilivyokua vimeshikiliwa vimerudi sokoniShida ni mda wa kulipia mwez 1 ni mdogo, pia Mbeya wameweka siku 14
Noma sana.. this issue needs to be raised aiseeMtu ukijichanganya na viwanja vya mbeya
gusa kiwanja chenye kijani utaletewa ukubwa na beiNishafungua account Naona viwanja lakini namna ya kujua ukubwa bei na mna ya kulipia ndio changamoto any asist
mbona hivyo vitu vyote vinaonekana vizuri.Tumia device yenye screen kubwa tuMimi nashindwa kununua kiwanja online kupitia Tausi sioni option ya kupata namba ya malipo pia sioni vipimo vya kiwanja husika. Naomba maelekezo please.
Hii ni kweli mkuu, watu wanabisha tu. Mwezi wa 11 nilizama Tausi kucheki kiwanja ninachokuifuatilia, nikakuta kimebebwa tayari, nimekuja kucheki juzi kimerudi sokoni. Na hicho kiwanja ndiyo kilikuwa cha bei ghali kwenye project, nahisi mwamba alishindwa kulipa kwa wakatiAngalia
Kimechukuliwa tena, dah!Hii ni kweli mkuu, watu wanabisha tu. Mwezi wa 11 nilizama Tausi kucheki kiwanja ninachokuifuatilia, nikakuta kimebebwa tayari, nimekuja kucheki juzi kimerudi sokoni. Na hicho kiwanja ndiyo kilikuwa cha bei ghali kwenye project, nahisi mwamba alishindwa kulipa kwa wakati
Vipi mkuu ulishafuatilia hati?Wataboresha with time..
Wapunguze tuu masharti na waongeze muda wa malipo…
Bado sijaenda mkoani niliambiwa niende fizikale..Vipi mkuu ulishafuatilia hati?
SawasawaBado sijaenda mkoani niliambiwa niende fizikale..