Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Mfumo wa kusearch viwanja ni mbovu kabisa na haupo responsive. Ukisearch kwenye taus hauoni kitu wala aina ya kiwanja.

Ila viwanja kwenye mfumo wa tausi vinanunuliwa kwa kasi ya RADI 🤣🤣

Viwanja viko bei ya juu mno na bado watu wananunua kwa kasi ya RADI 🤣🤣
 
Tumia computer au turn on auto rotate kwenye simu yako
 
Tumia computer au turn on auto rotate kwenye simu yako
Ukisearch kwenye taus hauoni kitu wala hakuna rangi tofauti na zilizopo kuonesha aina ya kiwanja unachosearch. Inabidi watu wa mfumo warekebishe. Pawe na rangi tofauti kama aina 5 au 15 kulingana na matumizi ya kiwanja.
Sold zote ziwe na rangi nyekundu
Kiwanja cha makazi kiwe na rangi yake
Kiwanja cha makazi/biashara kiwe na rangi yake
Kiwanja cha biashara kiwe na rangi yake
Kiwanja cha hotel kiwe na rangi yake
Kiwanja cha sheli kiwe na rangi yake
Kiwanja cha kiwanda kiwe na rangi yake
Kiwanja cha makazi maalum kiwe na rangi yake
Kiwanja cha hospitali kiwe na rangi yake
Kiwanja cha shule kiwe na rangi yake

Au mfumo wa kusearch uwe unahighlight kiwanja mtu unachosearch kwa kubadilisha rangi mfano rangi ya bluu
 
Hii ni kweli mkuu, watu wanabisha tu. Mwezi wa 11 nilizama Tausi kucheki kiwanja ninachokuifuatilia, nikakuta kimebebwa tayari, nimekuja kucheki juzi kimerudi sokoni. Na hicho kiwanja ndiyo kilikuwa cha bei ghali kwenye project, nahisi mwamba alishindwa kulipa kwa wakati
 
Back
Top Bottom