MH.GWAJIMA NA TUHUMA NZITO MNO......

Ukimsikiliza vyema katika ile CLIP yake kuna sehemu amerudia mara mbili kumtaja Hayati JPM...."kuwa ni kwanini Sasa chanjo ije baada ya JPM kuaga dunia....alipoaga dunia tu,chanjo zimekuja".....

Kauli hii ni ya hovyo kupindukia.....

Anataka AMCHAFUE RAIS SSH kwa "kumdogosha na kumfanya mwepesi kiuongozi" kwa kuwa HAYATI JPM ameacha LEGACY ya misimamo ISIYOYUMBA.....

MANENO HAYA NI MANENO MABOVU MNO KUTOLEWA NA MBUNGE TU DHIDI YA AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA

#GwajimaAfukuzweCCM
#KaziIendelee
#TujiandaeKuchanjwa
#JMTMilele
 
VIJANA IMARA CHAMA CHA MAPINDUZI IMARA.....

Kongole kwa kiongozi wetu mh.Kihongosi....hakika amedhihirisha UMAKINI WA TAASISI AIONGOZAYO......

Ninaunga mkono HOJA.....

Mh.Gwajima si DAKTARI WA BINADAMU wala mtaalamu wa afya na chanjo......

Mh.Gwajima anatambaa tu na "conspiracy theories" kudai kuwa hizi chanjo HAZITUFAI....

Nikiwa Kama kijana wa CCM nimeumizwa Sana na kauli zake za hovyo KUWALAANI VIFO MADAKTARI wetu na kuwatisha kuwatoa uhai KIMAOMBI....

Mh.Waziri wa afya Dr.Dorothy Gwajima ni DAKTARI kitaaluma na AMEOMBEWA KIFO na askofu Gwajima......

Katibu mkuu wa wizara ya afya Mh.Dr.Makubi ni DAKTARI kitaaluma na AMEOMBEWA KIFO na askofu Gwajima.....

Dr.Kigwangallah ni DAKTARI kitaaluma na AMEOMBEWA KIFO na askofu Gwajima.....

Na madaktari wote watakaohamasisha CHANJO nao wameombewa KIFO na Askofu Gwajima......

Ingalikuwa GWAJIMA anaongea ana kwa ana na YEHOVA YAHWEH naye kumjibu maombi yake basi TAIFA HILI LINGEPIGWA "dafrau" la kuwapoteza MADAKTARI WAKE WALIO NA VIAPO vya kututibu watanzania.......

INASHANGAZA
INASIKITISHA

#GwajimaAfukuzweCCM
#KaziIendelee
#NchiKwanza
#TujiandaeNaChanjo
#JMTMilele
 
Huyo Kihongosi na wenzake wanalinda na kutetea matumbo yao.Wajibu hoja za Gwaji badala ya kutoa vitisho.
 
Acha mawazo ya kidikteta.
 
Nawe umelipwa kutetea chanjo?Una hofu gani akisema ukweli?
 
 
Mpigeni risasi tu, mbona kwa Tundu Lissu mliweza?
 
"Askofu Gwajima anahamasisha Wananchi wasiende kuchanjwa, ni utovu wa nidhamu kwa Serikali na kwa CCM, sisi Vijana wa CCM tunalaani vikali kauli zile na tunakiomba Chama Viongozi wa namna hiyo wachukuliwe hatua kali" :-

Kenani Kihongosi, Katibu Mkuu UVCCM
 
"Askofu Gwajima anahamasisha Wananchi wasiende kuchanjwa, ni utovu wa nidhamu kwa Serikali na kwa CCM, sisi Vijana wa CCM tunalaani vikali kauli zile na tunakiomba Chama Viongozi wa namna hiyo wachukuliwe hatua kali" :- Kenani Kihongosi, Katibu Mkuu UVCCM
 
sawa kabisa.na huyu je?

 
Hahahahahahaha maana yake ni maccm kwa maccm. Mwenyewe kwa mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23] watoto wadogo hili neno huwa linawasumbua kutamka mwanzoni badala ya kutamka mwenyewe hutamka menyewe [emoji23][emoji23][emoji23]

Sio watoto wadogo tu, wahindi pia hulitamka vizuri sana…. atajua menyewe.
 
CCM isiwe kigeugeu miezi mitatu nyuma kwa umoja wao kupitia aliyekuwa mwenyekiti wao walikataa chanjo kwa hiyo Gwajima yuko sahii kwa sababu huo ndio ulikuwa msimamo wa chama chao

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂nimecheka jamani!
Hapo jumapili anahubiri afu j3 yuko kikaon kupanga wizi wa kura!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Typo na gwajima. Hatutaki machanjo wala mabarakoa. Vibara na makuwadi wa mabeberu mwacheni gwajima mtapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…