Sioni kwenye nchi hii wa kumpigia kura 2025 nahisi viongozi wote ni
vibaraka
 
Gwajima kaapa kuilinda legacy ya Mwendazake kulipa fadhila ya Ubunge aliopewa.

Hatakubali chochote kifanyike ambacho marehemu Mwendazake alikikataa ikiwemo na hili la chanjo.

Huyu ndiye kiongozi wa hili kundi la vigogo ndani ya CCM.
 
Hizo ni tuhuma zisizo kuwa na ukweli! Gwajima hawezi kuwa Rais 2025 hivi hivi!

Jamani Gwajima ametoa mawazo na maoni yake,hakuna anayelazimishwa kufuata maoni yake.

Una hiari ya kuchanjwa au kutochanjwa.

Kila mtu kikatiba ana haki ya kutoa maoni Ili mradi havunji sheria, gwajima hatoi maoni,anahamasisha boycott achukuliwe hatua kali
 
Hizo ni tuhuma zisizo kuwa na ukweli! Gwajima hawezi kuwa Rais 2025 hivi hivi!

Jamani Gwajima ametoa mawazo na maoni yake,hakuna anayelazimishwa kufuata maoni yake.

Una hiari ya kuchanjwa au kutochanjwa.

Kila mtu kikatiba ana haki ya kutoa maoni Ili mradi havunji sheria, gwajima hatoi maoni,anahamasisha boycott achukuliwe hatua kali
 
Kama vipi mpigeni risasi mbona kwa Tundu Lissu mliweza?
 
Ahahaha huu ndo ushauri?
Tutajua upinzani mnachotamani wamfukuze Gwajima mpate mgombea wa urais mwenye ushawishi mkubwa hasa Kanda ya ziwa,maana mmeshainyea kambi ya Kanda ya ziwa.

Nani asiyejua kuwa wapinzani wote wakubwa walitoka CCM baada ya mkanganyiko wa maamuzi kichama.
Mrema vs Mkapa
Slaa vs Kikwete
Lowassa vs Magufuli
Wote hawa walitoka CCM.

Sasa hivyi mnavizia Tena wavurugane mpate mgombea.
Kama Kuna kosa rais atajutia kulifanya ni kumdhibiti Gwajima ambaye wananchi wengi wamemuona Kama mtetezi wao,hasa baada kujitoa mhanga kwenye issue ya Corona.
 
Uongo uongo tu, umbea umbea tu, wiwvu wivu, huna lolote mzee baba
 
Kama mbowe alivyokuwa na uhuru wa kusema chanjo iwe ni lazima kwa kila mtanzania ata gwaji naye anao uhuru wake wakuipinga.
 
Hivi ndugu, unadhani Rais aliye madarakani kwa nchi kama Tanzania, anaweza poteza kiti chake kirahisi tu kama mtu anavyoweza ibiwa mke au mme? Hakuna mtu wa kumzuia Samia kuwa Rais 2025. Labda asigombee kwa utashi wake au awe mgonjwa.
 
Njia ya kumdhibiti ni kama ile ya march 17 mbona rahisi tu
 
Kwa katiba hii ambayo Rais ana absolute power, Askofu Rashid akiwa Rais tushike mioyo yetu tu.

Ile kauli ya kugeuza Madrasah kuwa Sunday Schools itatimia.
 
Si rahisi mpinzani akatoa ushauri wa kukiimarisha chama kilichopo madarakani, ikitokea hivyo basi ushauri huo inatakiwa kuupitia kwa jicho la tatu.
 
Kwani lazima tuwe na Rais huyuhuyu? Kugombea Ni haki ya Kila Raia ,Cha msingi Kama Ana Sifa.
 
Kwani lazima tuwe na Rais huyuhuyu? Kugombea Ni haki ya Kila Raia ,Cha msingi Kama Ana Sifa.N
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…