Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni tuhuma zisizo kuwa na ukweli! Gwajima hawezi kuwa Rais 2025 hivi hivi!
Jamani Gwajima ametoa mawazo na maoni yake,hakuna anayelazimishwa kufuata maoni yake.
Una hiari ya kuchanjwa au kutochanjwa.

Subilini amalizane na mbowe kwanza.Yaache yauane, yote majambazi, yatwangane na risasi kabisa, sisi tunakaa pembeni tunashangilia
Kama vipi mpigeni risasi mbona kwa Tundu Lissu mliweza?Habari!
Niliandika uzi kuwa mbunge wa Kawe ana nia ya kugombea Urais 2025. Na kwa mujibu wa mifumo ya CCM 2025 ni zamu yako tena Mh. Samia Suluhu kugombea Urais.
Huyu Gwajima mtu mwenye nguvu na mjanja sana, kavipiga vita vingi na kushinda. Usipojifunga kiume umdhibiti mapema huyu Askofu Gwajima atakuharibia njia na kukimegamega chama chenu nasi wapinzani tutashangilia maana huwenda tukapata mpenyo.
Ahahaha huu ndo ushauri?Habari!

Uongo uongo tu, umbea umbea tu, wiwvu wivu, huna lolote mzee babaHabari!
Niliandika uzi kuwa mbunge wa Kawe ana nia ya kugombea Urais 2025. Na kwa mujibu wa mifumo ya CCM 2025 ni zamu yako tena Mh. Samia Suluhu kugombea Urais.
Huyu Gwajima mtu mwenye nguvu na mjanja sana, kavipiga vita vingi na kushinda. Usipojifunga kiume umdhibiti mapema huyu Askofu Gwajima atakuharibia njia na kukimegamega chama chenu nasi wapinzani tutashangilia maana huwenda tukapata mpenyo.
Wanajua vizuri jinsi alivyowasaidia CHADEMA kwenye issue ya Liwassa,Sasa wanamtamani wanaona kaiva.CCM hawamuwezi Gwajima wanalialia tu,huyu Gwajima ana 'watu'. Wakimgusa anakinukisha kinoma
Njia ya kumdhibiti ni kama ile ya march 17 mbona rahisi tuMshauri na njia ya kutumia ili kumdhibiti.
Binadamu tunaishi kisharishari tu, yaani kila kitu tunawaza kukomoana na kushindana kila wakati.
Matokeo yake watu kunyanyaswa bila sababu na kupoteza future za watu huku familia na watu wengine kuumia zaidi.
Hii ndiyo maana Tanzania hatuendelei kabisa.
Ubinafsi mwingi usio na wala sababu za msingi.
Tatizo sio kupinga,tatizo una mpinga nani na unampingajeKama mbowe alivyokuwa na uhuru wa kusema chanjo iwe ni lazima kwa kila mtanzania ata gwaji naye anao uhuru wake wakuipinga.
Kwani lazima tuwe na Rais huyuhuyu? Kugombea Ni haki ya Kila Raia ,Cha msingi Kama Ana Sifa.Habari!
Niliandika uzi kuwa mbunge wa Kawe ana nia ya kugombea Urais 2025. Na kwa mujibu wa mifumo ya CCM 2025 ni zamu yako tena Mh. Samia Suluhu kugombea Urais.
Huyu Gwajima mtu mwenye nguvu na mjanja sana, kavipiga vita vingi na kushinda. Usipojifunga kiume umdhibiti mapema huyu Askofu Gwajima atakuharibia njia na kukimegamega chama chenu nasi wapinzani tutashangilia maana huwenda tukapata mpenyo.
Kwani lazima tuwe na Rais huyuhuyu? Kugombea Ni haki ya Kila Raia ,Cha msingi Kama Ana Sifa.NHabari!
Niliandika uzi kuwa mbunge wa Kawe ana nia ya kugombea Urais 2025. Na kwa mujibu wa mifumo ya CCM 2025 ni zamu yako tena Mh. Samia Suluhu kugombea Urais.
Huyu Gwajima mtu mwenye nguvu na mjanja sana, kavipiga vita vingi na kushinda. Usipojifunga kiume umdhibiti mapema huyu Askofu Gwajima atakuharibia njia na kukimegamega chama chenu nasi wapinzani tutashangilia maana huwenda tukapata mpenyo.
Unamaanisha niniNchi hii ina watu wa ajabu sana, mzee ufufuo na uzima, siyo panya wa maabara wa kufanyia majaribio. Mungu kaona, kombora laja, aliyekenua atalia, na aliyelia atakenua.
Hilo Mimi silijui , ninachojua ni kwamba atagombea UraisKwamba kuna siku Askofu viuno atakuja kuwa Rais?!!!