UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Usalama wa Taifa na Vyombo vya ulinzi msiwachekee hawa UVCCM watakuja kuleta machafuko kwenye Taifa letu Pendwa kwa sababu ya Uchawa maandazi.
 
Lissu alifanya jambo sahihi kwa wakati ule, na anafanya jambo sahihi hivi sasa.
Maana ninyi kwenu mtu kukosolewa mnaita ni matusi.
Chato atakwenda, kwenye kaburi la Magufuli atafika. Wakitaka wakai lobby au kuitisha familia ya Magufuli kuwa itoe tamko kwamba asiende, kitu ambacho mama Janeth kamwe hawezi kukubaliana nacho.
 
Kama Rais mwenyewe anasema kaziba masikio kwa yanayoendelea nchini mwake hapo unategemea nini?
Amesema yeye anangozi ngumu sema hao chawa wake ndo hawezi kuwazuia...... yaan kimoyo moyo nimetukana bonge la tusi
 
Piga Pini
Piga Pini huyo mnafiki wa Ubelgiji 🤣🤣🤣
 
Your browser is not able to display this video.
 
UVCCM ni ccm waache uhuni
 
Waliochoma gari la chadema police msiumeze kichwa, kamata hawa Wagner sukuma ndani.
 
Aahaaaaaaa,badala ya kusikitika nimeishia kucheka tu

johnthebaptist ebu njoo tuyajenge huku
 
Mimi sikumpenda Magufuli na naamini Magufuli ndiye aliyetuma wale wasiojulikana kumshambulia Tundu Lissu.

Lakini sikubaliani na UNAFIKI wa Lissu wa kwenda kaburini kwa Magufuli kujipatia umaarufu. Lengo lake ni kuwapumbaza wajinga kuonyesha kuwa "anamthamini" Magufuli kwa kulinda raslimali za nchi. Kinyume na Samia ambaye anaonekana anazikabidhi kwa wageni.

UVCCM HOYEÈEE. zuia kabisa huyo mlemavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…