Tatizo tuna rais anayepwayaHii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo tuna rais anayepwayaHii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.
Usalama wa Taifa na Vyombo vya ulinzi msiwachekee hawa UVCCM watakuja kuleta machafuko kwenye Taifa letu Pendwa kwa sababu ya Uchawa maandazi.
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Mungu anaratibu anguko la CCM...UVCCM wamekuwa Amri Jeshi mkuu.
Hii nchi kila mtu akitoa tamko tunaelekea kusiko julikana.
Lissu alifanya jambo sahihi kwa wakati ule, na anafanya jambo sahihi hivi sasa.Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Amesema yeye anangozi ngumu sema hao chawa wake ndo hawezi kuwazuia...... yaan kimoyo moyo nimetukana bonge la tusiKama Rais mwenyewe anasema kaziba masikio kwa yanayoendelea nchini mwake hapo unategemea nini?
Kwani uongo?Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Piga Pini huyo mnafiki wa Ubelgiji 🤣🤣🤣
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Kwani uongo?Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Kama kawaida yako unaandika kwanza kisha unafikiri.
Hivi baada ya kifo chake nani hasa alimponda Magu zaidi ya CCM wenyewe ili kumjengea Samia kukubalika?
Nani waliokuwa wana sema Mama anaiponya nchi? Tunarudisha mahusiano yaliyokuwa yamepotezwa?
Ilifika mahali hadi mke wa marehemu mkamnanga hadharani kuwa wazuri hawafi? Si mpaka aliamuwa kuwazira akawa hataki hata mialiko yenu?
Lissu alikuwa anamtaja kama taasisi sio individual na bila akili huwezi elewa.
UVCCM ni ccm waache uhuni
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Waliochoma gari la chadema police msiumeze kichwa, kamata hawa Wagner sukuma ndani.
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Marehemu anaambiwa ukweli?Alimtukana au alimwambia ukweli!!?
Kwani hakuwa dikteta uchwara!!??
Call a spade a spade.
Hakutukana bali alimsifiaLisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Aahaaaaaaa,badala ya kusikitika nimeishia kucheka tu
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Mimi sikumpenda Magufuli na naamini Magufuli ndiye aliyetuma wale wasiojulikana kumshambulia Tundu Lissu.