UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

anaenda to kule kama study tour hakuna la zaidi
 
Ja
Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi. Hawa Jamaa Uvccm akili hakuna na utashi hakuna
Hao ni mbwa wa viongozi wa CCM,hufanya,hufikiri na hutenda kadili ya matakwa ya viongozi wao
 
Acha uongo wapi Lisu alifurahia kifo cha Magu?nyinyi wenyewe kwa wenyewe Msogagangi ndio mlifurahia na kufanya sherehe,wengine wakisema bahari imetulia wengine wakisema wazuri wanaishi milele,hawa mterahamwe hawana uweze wa kumzua Lisu kwenda chato hii nchi sio yao.
 
Sikudhani unaweza kuwa hivi, something wrong somewhere
 
watanzania wengi wenye akili timamu tulifurahia sana kufa kwa huyo kambale, except few idiots like you
 
Niseme tu mama Samia anapwaya sana, maana kila mtu kawa kambale
 
Nyie ni nani acheni upuuzi la sivyo hata hao wapuuzi wanaowatuma nao tutawazuia kwenda sehemu zingine wabaki makwao tuu. Hii Tanzania kila mmoja anaweza kwenda popote.
 
nadhani hawamjui Lissu hawa masikini
 
Mavijana majinga haya!!. Imagine wanashindwa kuisimamia serikali na kutoa mapendekezo haswa kweny masuala ya kimikataba. Yanabaki kukaza mafuvu kwa mamb yasiyo na tija!!πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220330_194603.jpg
    53.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…