UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Ndio nasema something wrong somewhere, umeandika nini kama sio upumbavu?
Nani umeona hana akili? Mpuuzi wewe!
Kama unaweza kusoma na ku comment kwenye upumbavu wangu, je wewe tukuite nani? HAYAWANI
 
Mnashindwa kuelewa, Lissu alimpinga Magufuli kwa Yale ambayo Magufuli alikosea na si vinginevyo. Hii haihusiani kabisa na kukubaliana nae kwa yale aliyopatia
Yes alimpinga ila Sometimes alimtukana sana,hasa jinsi alivyofurahia kifo cha Magu.
 
Kudhuru kaburi ni tendo la kiibada hivyo kama familia ya Magufuli imeridhia Tundu Antipas Lisu adhuru kaburi la Mpendwa wao sioni Sababu ya UVCCM Walio katika Dini mbalimbali kuingilia Kati

Ukristo ni Upendo na Msamaha!
 
dhuru

KitenziEdit. dhuru (kitenzi jina kudhuru). umiza au haribu. Tafsiri Edit. Kiingereza: harm.

Labda wamekubaliana akimaliza kulidhuru atalijenga upya ila kwanini afanye hivyo ni hasira dhidi ya mwendazake!?
 
Kama Rais mwenyewe anasema kaziba masikio kwa yanayoendelea nchini mwake hapo unategemea nini?
Ukiwa Rais na usipoziba Masikio lazima ufie madarakani kwa stress

Jakaya yeye hakuwa anaziba masikio, alikuwa anasomba masela wenzie wanaamsha New York kwenda kula bata …zogo kama hili la Bandari angeshapiga likizo ya 28 days Kule Texas

kwa Mwaka alikuwa hakosi trip sita za Newyork na akiwa huko hakosi ku party kwny show kubwa kubwa

Juzi kati akihojiwa na Masoud Kipanya anataja zile kashfa za utawala wake za kuanzia EPA, Richmond, Dowans na Escrow huku anacheka kabisa kwa kwikwi

anakwambia Sifa ya Kiongozi ni kuwa Calm

Mbwa anaesikiliza kila mruzi lazima apotee
 
UVCCM wameapa kumzuia Tundu Lissu na Chadema wasiingie Chato kwa madai Tundu Lissu alimtukana Magufuli. UVCCM wameapa kufanya chochote kumzuia Lissu na kwamba wapo tayari kwa lolote.

Tayari gari la Chadema limechomwa moto na vifaa vyao vya matangazo kuharibiwa! Serikali iwe makini na CCM na hao UVCCM kwani wanaweza kuleta machafuko makubwa. Ikumbukwe kuwa katiba yetu inaruhusu uhuru wa kujumuika na kuzungumza jambo ambalo UVCCM wameapa kutoliruhusu. Hii ni mbaya kwa usalama wa watanzania na Tundu Lissu na wanachama wa Chadema, jambo hili likemewe kwa nguvu.
 
Uongozi wa CCM yenyewe ni wanafiki wakubwa. Wanatia kinyaa. Vilevile, huyu Mzee Bwana Tundu wa CHADEMA atulie tu, huu si wakati wa kujipendekeza mbele ya UMOJA party!

Familia ya Magufuli wakatae na wasikubali kaburi lake kutumiwa kwasababu za Viongozi hao wa Vyama vya siasa kutafuta ushawishi wa kisiasa.

R.I.P comrade JPM
 
Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi wa kutukana bila woga na hata aibu..
Huyu Jamaa hakumbuki jana alisema nini na hao uliowatukana utegemee wakupokee kwa makaribisho ya upendo na shangwe.

akili hakuna na kumbukumbu hakuna.
Ndio ashapokelewa tena kwa shangwe lissu nchi imemwelewa
 
Uongozi wa CCM yenyewe ni wanafiki wakubwa. Wanatia kinyaa. Vilevile, huyu Mzee Bwana Tundu wa CHADEMA atulie tu, huu si wakati wa kujipendekeza mbele ya UMOJA party!

Familia ya Magufuli wakatae na wasikubali kaburi lake kutumiwa kwasababu za Viongozi hao wa Vyama vya siasa kutafuta ushawishi wa kisiasa.

R.I.P comrade JPM
Kwanini unampangia
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Wala wasiogpwe.
Fujo zitaiumiza serikali ya ccm kuliko cdm
 
Kwa ufupi ccm imejaa watu wenye akili finyu, wao kwao Mkapa, kikwete, JPM, mwinyi, nyerere ni Mali ya ccm, MTU yeyote asie ccm hata kiwi kuwazungumzia, au kupata faida ya kisiasa kuhusu majina na Historia yao,
U ccm ni kama barking dogs wa utawala.
 
Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi wa kutukana bila woga na hata aibu..
Huyu Jamaa hakumbuki jana alisema nini na hao uliowatukana utegemee wakupokee kwa makaribisho ya upendo na shangwe.

akili hakuna na kumbukumbu hakuna.
Hii ni akili za WAFU
Kusema ukweli ni kutukana?
Ccm mtajielewa lini?
 
Kama unaweza kusoma na ku comment kwenye upumbavu wangu, je wewe tukuite nani? HAYAWANI
Najaribu tuu kukusaidia maana awali ulikuwa unaandika vitu vya maana, ghafla unatoa pumba! Wewe ndio wa kumkebehi Lissu?
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Wametumwa! lengo ni kupata sababu ya kuzuia kampeni ya kuzuia majambazi ya tanganyika! Pendekezo: Green guard msikubali Lissu asogelewe na mbwa koko yeyote!
 
Back
Top Bottom