Kama unaweza kusoma na ku comment kwenye upumbavu wangu, je wewe tukuite nani? HAYAWANINdio nasema something wrong somewhere, umeandika nini kama sio upumbavu?
Nani umeona hana akili? Mpuuzi wewe!
Yes alimpinga ila Sometimes alimtukana sana,hasa jinsi alivyofurahia kifo cha Magu.Mnashindwa kuelewa, Lissu alimpinga Magufuli kwa Yale ambayo Magufuli alikosea na si vinginevyo. Hii haihusiani kabisa na kukubaliana nae kwa yale aliyopatia
Kudhuru kaburi ni tendo la kiibada hivyo kama familia ya Magufuli imeridhia Tundu Antipas Lisu adhuru kaburi la Mpendwa wao sioni Sababu ya UVCCM Walio katika Dini mbalimbali kuingilia Kati
Ukristo ni Upendo na Msamaha!
Ukiwa Rais na usipoziba Masikio lazima ufie madarakani kwa stressKama Rais mwenyewe anasema kaziba masikio kwa yanayoendelea nchini mwake hapo unategemea nini?
Kwani tusi hapo ni lipi?Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Ndio ashapokelewa tena kwa shangwe lissu nchi imemwelewaDaaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi wa kutukana bila woga na hata aibu..
Huyu Jamaa hakumbuki jana alisema nini na hao uliowatukana utegemee wakupokee kwa makaribisho ya upendo na shangwe.
akili hakuna na kumbukumbu hakuna.
Kwanini unampangiaUongozi wa CCM yenyewe ni wanafiki wakubwa. Wanatia kinyaa. Vilevile, huyu Mzee Bwana Tundu wa CHADEMA atulie tu, huu si wakati wa kujipendekeza mbele ya UMOJA party!
Familia ya Magufuli wakatae na wasikubali kaburi lake kutumiwa kwasababu za Viongozi hao wa Vyama vya siasa kutafuta ushawishi wa kisiasa.
R.I.P comrade JPM
Wala wasiogpwe.
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Kwa ufupi ccm imejaa watu wenye akili finyu, wao kwao Mkapa, kikwete, JPM, mwinyi, nyerere ni Mali ya ccm, MTU yeyote asie ccm hata kiwi kuwazungumzia, au kupata faida ya kisiasa kuhusu majina na Historia yao,
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Hii ni akili za WAFUDaaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi wa kutukana bila woga na hata aibu..
Huyu Jamaa hakumbuki jana alisema nini na hao uliowatukana utegemee wakupokee kwa makaribisho ya upendo na shangwe.
akili hakuna na kumbukumbu hakuna.
Tulia.Kwanini unampangia
Wametumwa! lengo ni kupata sababu ya kuzuia kampeni ya kuzuia majambazi ya tanganyika! Pendekezo: Green guard msikubali Lissu asogelewe na mbwa koko yeyote!
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Na kuna mpasuko wa kiuchumi huo ndio mbaya zaidiHii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.