UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

..lakini CCM wana katiba pendekezwa waliyoipitisha.

..nashangaa kwanini hawaipigii chapuo katiba hiyo.
Hata hiyo kwao wanaona haiwapi ulinzi wa kutosha kama hii iliyopo sasa.

Hawa wapuuzi safari hii wasiachwe wakitamba. Wasipodhibitiwa safari hii, wataendelea kuiumiza nchi hii.

Vidomodomo hivi ni lazima safari hii vikatwe kabla havijaanza tena kutupeleka alikotufikisha Magufuli.

Wanaifanya nchi hii kama ni ya kwao peke yao?
 
..hivyo vidomodomo unavikata vipi wakati wana polisi, usalama, na mahakama, nyuma yao?

..mimi wasiwasi wangu ni kwamba hawa ndio wameandaliwa kushika uongozi.

..Ni vijana wa ajabu sana. Kuna mwingine nimekutana naye humu JF hata kuandika jina la Magufuli hajui anaandika " Maghufuri." 🤣
 
Naona hata wao UVCCM wenyewe wamechanganyikiwa hawajui washike lipi, bosi wao kwanza alisema Katiba Mpya isubiri, then amekuja kusema; "anatengeneza mazingira sawa ya kisiasa na yupo tayari kutoa ushindi kwa upinzani"

Hizi kauli za hawa wajinga zitakomeshwa na watanzania wenyewe, kama kuandamana ni haki ya kikatiba wao wanazuia kama nani?

Ukweli ni kwamba hawa nao ni wahalifu wanaokumbatiwa na jeshi la polisi, nao wanavunja sheria kama mwenyekiti wao anavyovunja sheria kuzuia mikutano ya siasa.

Tanzania kwa sasa inaongozwa na chama cha maharamia kinacholindwa na dola, kama hatua za dhati na haraka hazitachukuliwa na wenye nchi, basi hali itakuwa mbaya zaidi, tusidanganyane na maandishi pekee ya mitandaoni kukemea.
 
Hatari saana Vijana.
Kiburi cha Maabakuli mawili tu waliyotembeza hivi karibuni.

Tatizo ni kwamba, hizo guarantee walizotoa huko zina ufa.
Bado sintofahamu.( Ni muda mrefu kuua legacy iliyopita), haikutegemewa itachukua mda mwingi.... Sasa basi, hawanajinsi, bali kutumia karata zilizotumiwa 2020 kwa gharama yeyote!

Hangaya ameuziwa lisilo nunulika na Wananchi.

A begining of the End?
 
Back
Top Bottom