UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

Tundu Lissu ni kaa la moto huko CCM, Kheri James alisema atamchoma sindano yenye sumu.

Uhuru wa Watanzania kujieleza umekwenda wapi?
Wameanza kuota mapembe,au Hawa ndio wambambikiaji wenyewe wa kwenye Ile kesi mchongo 🤸.Hawajui tunawalia timing mwisho wa siku tutawaburuza kortini
 
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.

..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.

majizi kweli kwani hawamwoni mwenyekti akipita mitaani kusanya vijisenti kwa ajili ya kuipa nguvu harakati ya kudai katiba mpya, kama wanalao na Lisu waseme mapema au nimwendelezo wa visasi vya mwendazake dhidi ya Lisu
 
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.

..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.

Mbona yuko all over the place? Demokrasia Safi ni ya wewe kukubaliana na mimi! Suala la Katiba Mpya halipo lakini lipo limeachiwa Tume HURU iliyoundwa na Rais mwenyewe na WOTE tutangaziwa namna ya kuizingatia! Katika demokrasia.
Hawa watu kwa nini wanapewa platform? Vitisho vyote hivyo si ndivyo Mwenyekiti wake anasema hayataki? Hivi haoni yeye ndie anayemchafua Mwenyekiti wake?

Amandla...
 
Umoja wenyewe ni changomoto tupu, hawa sijui kwanini kujenga hata hoja za kitoto wanashindwa!
Wao kazi yao ni kuunga mkono tu kila kinachotoka kwa wakubwa, hata kesho yake kikikanushwa wanaunga tena mkono 🤣
🤣
 
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.

..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.

ℍ𝕒𝕨𝕒 𝕔𝕔𝕞 𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕡𝕦𝕟𝕘𝕦𝕗𝕦 𝕨𝕒 𝕒𝕜𝕚𝕝𝕚 𝕚𝕝𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕜𝕠𝕖𝕝𝕖𝕜𝕖𝕒 𝕥𝕦𝕥𝕒𝕛𝕦𝕒𝕟𝕒 𝕥𝕦 𝕕𝕒𝕒𝕕𝕖𝕜𝕚𝕚!
 
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.

..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.

Waache kutumia mkorogo ndio wataweza kuwashauri wajinga wenzao huko ccm
Screenshot_20220417-164626_Twitter.jpeg
IMG_20220309_083547.jpeg
 
Hao vijana wamevimbiwa. Sisi kaka CCM msimamo wetu ni kuwa na siasa zenye kuheshimu utu wa binaadamu. Leo hii tumefika hapa mpaka tunajitutumua mpaka nje ya nchi kumdhihaki marehemu ni kwa sababu hatukujenga msingi wa siasa za heshima

..marehemu si alikuwa madarakani kwa miaka 6?

..je, alijenga siasa za haki, utu, na kuheshimiana?
 
Back
Top Bottom