UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

UVCCM yenye kujenga hoja zenye mashiko iliisha enzi za kina EL, JK wakaiwa vijana wadadisi, ambao nao walirithi toka kwa kina Samweli Sita ambao hadi mwalimu akawacharaza viboko pale mlimani.

Hii UVCCM ya sasa ni mipasho mitupu, nyepesi saana na hii ni habari mbaya sana kwa ustawi wa CCM mbeleni.
 
CHADEMA wanaungana na CCM walamba asali kukandia Jina Magufuli. Hapa wameonywa na wenye chama wapunguze shobo wamenuna tena. Nyumbu kwelikweli.
CHADEMA wanakosea kosa la kimkakati, wanaelekeza kidole Kwa mtu mmoja tena alielala, ADUI hapa ni CCM, akiondolewa huyo vita wanashinda. Msichukuliwe na upepo huo ya kuwa ndani ya KIJANI Pana viongozi wenye Nia njema.
 
Uvccm wengi ni form four failure, au degree holder third class ya social work, wengi ni zero kichw
Usidharau elimu za watu hao UVCCM wanaaangalia maslai yao binafsi si kwamba hawafahamu umuhimu wa katiba mpya kwasababu ukiwa field wanaozungumzia katiba mpya ni hao hao la saba na form 4 kwanza hawana hofu kwasababu hawana cha kupoteza kwanza wasomi ndo wasaliti na huwa wanakatisha watu tamaa sasa hapo elimu zao zinawasaidia nini .. tusizungumzie elimu kwasababu wewe umesoma na ulifaulu vizuri.
 
Back
Top Bottom