KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu 'JokaKuu',..hivyo vidomodomo unavikata vipi wakati wana polisi, usalama, na mahakama, nyuma yao?
..mimi wasiwasi wangu ni kwamba hawa ndio wameandaliwa kushika uongozi.
..Ni vijana wa ajabu sana. Kuna mwingine nimekutana naye humu JF hata kuandika jina la Magufuli hajui anaandika " Maghufuri." š¤£
Nikwambie bila shaka kabisa moyoni mwangu: Hapajawahi kuwa na fursa (nafasi) ya kuiondoa madarakani kama iliyopo sasa hivi.
CCM is at its lowest level, at this point than it has ever been, even during Kikwete's regime.
Hivyo vyombo unavyovitaja hapo juu, wewe bado unaviangalia kwa jicho lilelile ulivyoviangalia wakati wa Magufuli. Hiyo imekwishapita.
Ndiyo maana nasema, kuna umuhimu mkubwa sana wa kutoruhusu waji'group' tena na kuanza tena yale yale tuliyoyashuhudia wakati wa Magufuli.