UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

hawa vijana wanafikiri nchi bado ipo kulekule kwenye ujima wa awamu ya tano eee !! Haya semeni tena kwa nini mwenyekiti wenu kaenda kuzindua utalii kwa mabeberu badala ya hapa hapa nyumbani.

Mama Samia awe makini sana na hawa vijana - wana maropoko mengi yasiyo na mantiki, kwani kudai katiba lini imegeuka kosa la jinai?
Uvccm wengi ni form four failure, au degree holder third class ya social work, wengi ni zero kichwani.
Four Four Fight For Food For Four years.

F ngapi hizo?
 
Kwani katiba mpya ni tatizo?

..Ccm wanayo katiba pendekezwa ambayo waliipitisha ktk bunge maalum.

..Sasa nilitegemea watajenga hoja za kutushawishi na kutuelimisha kuhusu katiba pendekezwa.

..Usisahau kwamba Rais Ssh alikuwa Makamu Mwenyekiti wa wajumbe waliopitisha katiba pendekezwa.

..Inastaajabisha kwamba Lissu anaizungumzia na kuichambua katiba pendekezwa ya Ccm wakati wenye nayo wako kimya.
 
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.

..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.

MOLA KATOA AKILI TUZITUMIYE,AJABU MTU ANAONGEA KANA KWAMBA HAJUWI KAZI YA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA.WANAMAMLAKA GANI KUMZUIA MTU KUSEMA.WAMETUMWA HAO.ANAYEZUNGUMZA MWENYEWE KAMA HANA CONFIDENCE YA KUJENGA HOJA.ALIKUWA HERI JAMES NADHANI SASA ATAKUWA AMEJIFUNZA.MUDA NI MWL.
 
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.

..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.

Ccm si wanayo katiba Pendekezwa?? Au wanataka kuwa kama Kheri James🤣🤣🤣
 
Tundu Lissu ni kaa la moto huko CCM, Kheri James alisema atamchoma sindano yenye sumu.

Uhuru wa Watanzania kujieleza umekwenda wapi?
Uhuru wa kujieleza upo ila ni nyinyi wenyewe hamtaki kuutumia.
 
Attachments

  • VID-20220415-WA0002.mp4
    894.4 KB
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.

..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.

Chadema mlikuwa mnachukia bure JPM na kuwaunga mkono janjawid, mnafikiri hao CCM wako tayari kuona wanapokonywa tonge mdomoni kupitia uchaguzi? Thubutu mmekosea sana kuwaunga mkono mahasimu wa JPM hamtakuja kupota sehemu yoyote ya kuwasemea wananchi kwa sasa msahau hao sio watu wazuri kabisa
 
..yaani pamoja na ukatili wote ule wa Jpm dhidi ya Cdm bado unaamini walitakiwa wampende?

..awamu zote zimekuwa zikidhulumu wapinzani lakini Jpm alizidisha dhuluma hizo.

..kijana anayeonekana hapo ni zao la Ccm ya Jpm ambao hawawezi kukabiliana na wapinzani kwa hoja.

..Vijana wa Jpm wakiona mpinzani anajenga hoja damu zinawachemka wanafikiria namna ya kumpiga na kumdhuru.
 
Hata hiyo kwao wanaona haiwapi ulinzi wa kutosha kama hii iliyopo sasa.

Hawa wapuuzi safari hii wasiachwe wakitamba. Wasipodhibitiwa safari hii, wataendelea kuiumiza nchi hii.

Vidomodomo hivi ni lazima safari hii vikatwe kabla havijaanza tena kutupeleka alikotufikisha Magufuli.

Wanaifanya nchi hii kama ni ya kwao peke yao?
akina musiba wengine hao
 
Back
Top Bottom