Naona hata wao UVCCM wenyewe wamechanganyikiwa hawajui washike lipi, bosi wao kwanza alisema Katiba Mpya isubiri, then amekuja kusema; "anatengeneza mazingira sawa ya kisiasa na yupo tayari kutoa ushindi kwa upinzani"
Hizi kauli za hawa wajinga zitakomeshwa na watanzania wenyewe, kama kuandamana ni haki ya kikatiba wao wanazuia kama nani?
Ukweli ni kwamba hawa nao ni wahalifu wanaokumbatiwa na jeshi la polisi, nao wanavunja sheria kama mwenyekiti wao anavyovunja sheria kuzuia mikutano ya siasa.
Tanzania kwa sasa inaongozwa na chama cha maharamia kinacholindwa na dola, kama hatua za dhati na haraka hazitachukuliwa na wenye nchi, basi hali itakuwa mbaya zaidi, tusidanganyane na maandishi pekee ya mitandaoni kukemea.