peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
UV-CCM hata kiswahili kuongea ni issue..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Wameanza kuota mapembe,au Hawa ndio wambambikiaji wenyewe wa kwenye Ile kesi mchongo π€Έ.Hawajui tunawalia timing mwisho wa siku tutawaburuza kortiniTundu Lissu ni kaa la moto huko CCM, Kheri James alisema atamchoma sindano yenye sumu.
Uhuru wa Watanzania kujieleza umekwenda wapi?
Akina saa mbovu style π€UV-CCM hata kiswahili kuongea ni issue
Hapa ndipo unagundua hawa jamaa wanatafuna inji hii san kwa katiba iliyopo, that's why wanaipigania iendelee for any cost!!..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
majizi kweli kwani hawamwoni mwenyekti akipita mitaani kusanya vijisenti kwa ajili ya kuipa nguvu harakati ya kudai katiba mpya, kama wanalao na Lisu waseme mapema au nimwendelezo wa visasi vya mwendazake dhidi ya Lisu..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Mbona yuko all over the place? Demokrasia Safi ni ya wewe kukubaliana na mimi! Suala la Katiba Mpya halipo lakini lipo limeachiwa Tume HURU iliyoundwa na Rais mwenyewe na WOTE tutangaziwa namna ya kuizingatia! Katika demokrasia...Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Jinga wewe! Na wangekufa, mngefuta kesi kwa kukosa mtu wa kumhoji?Si Lisu wala dereva wake ambaye yuko tayari kutoa ushirikiano, yani amepigwa risasi yeye lakini anataka wakahojiwe watu wengine. Jinga kabisa
..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Lissu ni zezeta
Pale kubwa la mazezeta linapoona wenye Akili mazezetaLissu ni zezeta
Waache kutumia mkorogo ndio wataweza kuwashauri wajinga wenzao huko ccm..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Cc Mudawote..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Hao vijana wamevimbiwa. Sisi kaka CCM msimamo wetu ni kuwa na siasa zenye kuheshimu utu wa binaadamu. Leo hii tumefika hapa mpaka tunajitutumua mpaka nje ya nchi kumdhihaki marehemu ni kwa sababu hatukujenga msingi wa siasa za heshima

Hili mbulula linafikili bado tupo enzi za sukuma Gang,halijui kuwa Zama zimebadilika...Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.