Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
πππHofu yao kuu ni hii hapa:
Uvccm ndio kitu gani?..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Four Four Fight For Food For Four years.Uvccm wengi ni form four failure, au degree holder third class ya social work, wengi ni zero kichwani.
Alijenga heshima kwa watanzania..marehemu si alikuwa madarakani kwa miaka 6?
..je, alijenga siasa za haki, utu, na kuheshimiana?
Kwani katiba mpya ni tatizo?
Alijenga heshima kwa watanzania
Uvccm ndio kitu gani?
MOLA KATOA AKILI TUZITUMIYE,AJABU MTU ANAONGEA KANA KWAMBA HAJUWI KAZI YA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA.WANAMAMLAKA GANI KUMZUIA MTU KUSEMA.WAMETUMWA HAO.ANAYEZUNGUMZA MWENYEWE KAMA HANA CONFIDENCE YA KUJENGA HOJA.ALIKUWA HERI JAMES NADHANI SASA ATAKUWA AMEJIFUNZA.MUDA NI MWL...Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
NJE YA MADASi Lisu wala dereva wake ambaye yuko tayari kutoa ushirikiano, yani amepigwa risasi yeye lakini anataka wakahojiwe watu wengine. Jinga kabisa
Mamlaka ya UVCCM kumuonya Kiongozi wa Chama Cha upinzani aache kudai HAKI IPO kifungu Gani Cha Katiba?..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Ccm si wanayo katiba Pendekezwa?? Au wanataka kuwa kama Kheri Jamesπ€£π€£π€£..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Mkuu unahangaika bure. Fata ushauri wa zito ukalale kwa amani.Si Lisu wala dereva wake ambaye yuko tayari kutoa ushirikiano, yani amepigwa risasi yeye lakini anataka wakahojiwe watu wengine. Jinga kabisa
Wanasubiri Mama atasemaje waje waibuke kama mizukaπ€£π€£Uvccm hawana akili tu,
Huwa mnapata wapi muda wa kuwasikiliza makhanisi kama hawa?..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Uhuru wa kujieleza upo ila ni nyinyi wenyewe hamtaki kuutumia.Tundu Lissu ni kaa la moto huko CCM, Kheri James alisema atamchoma sindano yenye sumu.
Uhuru wa Watanzania kujieleza umekwenda wapi?
Afadhali hata mkiita waume zenu FFU na Jwt na kuwavalisha jezi za kijani kama kawaida yenu hamtoboi wakati huu!!..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Hiki kichwa cha kuku amevaa binadamu?Kwani katiba mpya ni tatizo?
Chadema mlikuwa mnachukia bure JPM na kuwaunga mkono janjawid, mnafikiri hao CCM wako tayari kuona wanapokonywa tonge mdomoni kupitia uchaguzi? Thubutu mmekosea sana kuwaunga mkono mahasimu wa JPM hamtakuja kupota sehemu yoyote ya kuwasemea wananchi kwa sasa msahau hao sio watu wazuri kabisa..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya.
..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
Chadema mlikuwa mnachukia bure JPM na kuwaunga mkono janjawid, mnafikiri hao CCM wako tayari kuona wanapokonywa tonge mdomoni kupitia uchaguzi? Thubutu mmekosea sana kuwaunga mkono mahasimu wa JPM hamtakuja kupota sehemu yoyote ya kuwasemea wananchi kwa sasa msahau hao sio watu wazuri kabisa
akina musiba wengine haoHata hiyo kwao wanaona haiwapi ulinzi wa kutosha kama hii iliyopo sasa.
Hawa wapuuzi safari hii wasiachwe wakitamba. Wasipodhibitiwa safari hii, wataendelea kuiumiza nchi hii.
Vidomodomo hivi ni lazima safari hii vikatwe kabla havijaanza tena kutupeleka alikotufikisha Magufuli.
Wanaifanya nchi hii kama ni ya kwao peke yao?