Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kujitambua ni jambo moja ila kumiliki kiburi ni jambo jingine!!!Unapoamua kuomba radhi ni marufuku kwenye matamshi yako kutuwekea neno "KAMA/IWAPO NIMEKUKOSEA".. Mpaka unaamua kuomba radhi ni tayari umeshajifanyia tathimini na kujua kuwa ulikosea na kuteleza.
Moja wapi hiyoWewe ni mgeni hapa jamvini, hiyo kauli aliitoa na kuna uzi wake upo humu.
Bila kumsahau yule DC wa Arusha Kennan Kihongosi aliwahi kusema wapinzani wanatakiwa wauwawe, aliyasema hayo akiwa mwenyekiti wa uvccm Iringa
Nyuzi zao na videos zipo humuhumu ngoja wafukua makaburi wataziweka hapa muda si mrefu.
Mimi sio Chadema lakini huyu kijana aliniudhi aliposema "Safari hii hatutumii bunduki tutatumia sindano shwaaaaaaa....." Huu ulikuwa ujinga wa hali ya juu kwa sababu aliyeumizwa ni binadamu sio mnyama. Hata angekuwa nyama chama cha kuwatetea wangekuja juu.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma akibainisha kuwa huu ni wakati wa kusamehe ya nyuma na kufungua ukurasa mpya wenye mambo yatakayokuwa na tija kwa Taifa.
“Inawezekana katika siasa zetu na hekaheka za kutofautiana kimitazamo yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukatetereka, sisi kama umoja wa vijana hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kuyarekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa rais wetu kuanza upya akiwa na watu walioshikamana ili nchi yetu iweze kwenda mbele.”
“Vijana wa nchi hii ndio watakuwa wanufaika wa kwanza Serikali ikiwa imara na vijana wa nchi hii ndio watakaokuwa wahanga wakubwa nchi ikiwa dhaifu.”
“Kwa hiyo ninasisitiza vijana tunahakikisha maneno na matendo yetu yanafanana na dhamira ya rais wetu ili kumrahisishia kazi yake mpya aliyopewa ya kutuongoza kama mkuu wa nchi ili sisi tuwe ni nguzo ya umoja, mshikamano na maendeleo ya nchi yetu,” amesema James.
Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we jamaa huwa napata burudani sana ninapokusomaKila zama na kitabu chake bwashee!
Hapo bado David Kafulila aka tumbili anatunga mistari !
Hahahhahaaha akilizao zimeanza kurudi japo itachukua muda kukaa sawasawa kwani babayao alikua anawependa watu wenye akili ndogo na rohombayaHalafu jamaa kumbe yupo vizuri katika kuongea na kupanga hoja,kumbe alikuwa anajitoa ufahamu.
MkuuHuyu Kheri kachanganyikiwa! Kwahiyo sasa marehemu ndio atwishwa zigo kiaina? Hivi mnafikiri mtaaminiwa na hao viongozi walio hai huku wakishuhudia matendo yenu?
Nafikiri yapo yanaendelea huko nyuma ya pazia ...
Hataree na Nusu.Unajua tatizo ni kuwa, kama wangevaa barakoa ingeleta picha kuwa pengine chuma kiliyeyushwa na deportivo...kitu ambacho kingekuwa ni kama kukivua nguo chuma cha pua.
Kwa hiyo ni mwendo kutembea mapua wazi huku unasali kimoyomoyo.
Kuna mmoja alisema Lisu afe.
Mwingine akasema Zitto auawe
Bulembo naye tena ni alhaj skasema Zitto Kabwe afanywe nini sijui!!!
All in all kuomba msamaha ni jambo jema na Ijumaa Kuu wakafanye kitubio hao wakristo wawili!
Uislam then mixer ni mwanamke..dharau na vichambo wavitegemee ..hauaa anaonekana anajua kunyali balaa .safiii mamaAhahahahahaha afu ukute mama hata hspokei simu yake au SMS maana kitakuwa kimempongeza kwa ushindi lakini hajibu!
Huyu mama kavu sana aisee
Huyo jamaa waUmoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma akibainisha kuwa huu ni wakati wa kusamehe ya nyuma na kufungua ukurasa mpya wenye mambo yatakayokuwa na tija kwa Taifa.
“Inawezekana katika siasa zetu na hekaheka za kutofautiana kimitazamo yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukatetereka, sisi kama umoja wa vijana hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kuyarekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa rais wetu kuanza upya akiwa na watu walioshikamana ili nchi yetu iweze kwenda mbele.”
“Vijana wa nchi hii ndio watakuwa wanufaika wa kwanza Serikali ikiwa imara na vijana wa nchi hii ndio watakaokuwa wahanga wakubwa nchi ikiwa dhaifu.”
“Kwa hiyo ninasisitiza vijana tunahakikisha maneno na matendo yetu yanafanana na dhamira ya rais wetu ili kumrahisishia kazi yake mpya aliyopewa ya kutuongoza kama mkuu wa nchi ili sisi tuwe ni nguzo ya umoja, mshikamano na maendeleo ya nchi yetu,” amesema James.
Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma akibainisha kuwa huu ni wakati wa kusamehe ya nyuma na kufungua ukurasa mpya wenye mambo yatakayokuwa na tija kwa Taifa.
“Inawezekana katika siasa zetu na hekaheka za kutofautiana kimitazamo yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukatetereka, sisi kama umoja wa vijana hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kuyarekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa rais wetu kuanza upya akiwa na watu walioshikamana ili nchi yetu iweze kwenda mbele.”
“Vijana wa nchi hii ndio watakuwa wanufaika wa kwanza Serikali ikiwa imara na vijana wa nchi hii ndio watakaokuwa wahanga wakubwa nchi ikiwa dhaifu.”
“Kwa hiyo ninasisitiza vijana tunahakikisha maneno na matendo yetu yanafanana na dhamira ya rais wetu ili kumrahisishia kazi yake mpya aliyopewa ya kutuongoza kama mkuu wa nchi ili sisi tuwe ni nguzo ya umoja, mshikamano na maendeleo ya nchi yetu,” amesema James.
Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Jamaa huyo alikuwa kiburi sana alishindwa kufaham kila jambo lina mwisho wake tutamsamehe akijiuzulu na vyombo vya dola vifanye uchunguzi kam kuna mabaya aliyaafanya sheria ichukue mkondo wakeUmoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma akibainisha kuwa huu ni wakati wa kusamehe ya nyuma na kufungua ukurasa mpya wenye mambo yatakayokuwa na tija kwa Taifa.
“Inawezekana katika siasa zetu na hekaheka za kutofautiana kimitazamo yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukatetereka, sisi kama umoja wa vijana hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kuyarekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa rais wetu kuanza upya akiwa na watu walioshikamana ili nchi yetu iweze kwenda mbele.”
“Vijana wa nchi hii ndio watakuwa wanufaika wa kwanza Serikali ikiwa imara na vijana wa nchi hii ndio watakaokuwa wahanga wakubwa nchi ikiwa dhaifu.”
“Kwa hiyo ninasisitiza vijana tunahakikisha maneno na matendo yetu yanafanana na dhamira ya rais wetu ili kumrahisishia kazi yake mpya aliyopewa ya kutuongoza kama mkuu wa nchi ili sisi tuwe ni nguzo ya umoja, mshikamano na maendeleo ya nchi yetu,” amesema James.
Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Mungu ni mwema. Atazidi kuwapigania wanaokandamizwa. Madhalimu na washirika wao wote, watajibu tu hizo dhulma. Wale waliojisahau na kudhani kuwa Jiwe ataishi na kutawala milele sasa hawana pa kukimbilia.Si ndie alikuwa akijinasibu kuua?
Si kijana wa 'hayati'
Huyu anatakiwa kuungana na bashite kujibu tuhuma za 'kudhulumu' maisha ya watu.