UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan




Kweli maisha yanaenda Kasi Sana huyu Dogo leo anaongea maneno Kama kanyeshewa na mvua


Waambie ili tuanze kufikiria Kuwasamehe ( japo sidhani kwa Machungu na Hasira tulizonazo Kwao ) Kwanza watupe Majibu ya haya Maswali yafuatayo tafadhali..

1. Wako wapi akina Ben Saanane na Azory Gwanda?

2. Nani aliamuru Tundu Lissu apigwe zile risasi?

3. Pesa za Kununua Wabunge kutoka Upinzani zilitoka wapi?

4. Walikuwa wanalipwa Shilingi ngapi kwa Kujipendekeza Kwao kwa Hayati?

5. Nani aliyetoa Amri ( Order ) kwamba ili uwe recruited TISS lazima uwe CCM Member?

6. Kikosi cha Kuteka, Kutesa na hata Kuua Wakosoaji ( Watesi ) kikiwa kama Task Force ndani ya Utawala kiliundwa na nani?

7. Kwanini almost 99% ya wana CCM waliokuwa Wakimlamba Miguu Hayati na Kujikomba Kwake sasa Wanamuogopa Rais Mama Samia wakati ni mwana CCM Mwenzao?
 
Ametumia neno "kama" ina maana hajui kuwa alitumia lugha za ajabu na kufedhehesha mbele za majukwaa alafu leo anasema, "kama tulitumia..."

Hata hivyo alikuwa mbabe kweli kweli huyu, hatimaye amejua maji yameanza kumzidi kimo.
 
Ni wakati wa kuzika tofauti zetu.......tusitazame nyuma......tufungue kurasa mpya......tunaomba Radhi....dah
 
Huyu KIJANA na wenzake kauli zao na utendaji wao wa kisifasifa umeumiza watu wengi sana na kuongeza idadi ya waliokichukia CCM. Aidha wengi walijiunga nao huku mioyoni wana mambo yao wakimuomba Mungu awasamehe waishi vile wapendavyo hawa. Binafsi sikupendezwa na ubabe na kauli zao. Hapa anawataja act waishi anajua kabisa CHADEMA ndicho Chama chemie VIJANA wengi tena huenda kushinda CCM ambacho kimekusanya VIJANA wenye tamaa na matarajio ya uongozi tu tena wa Mtindo wowote ule. Ushiriki wenu kuathiri chaguzi kibabe unawanyima kibari mbeleni ZA Mungu wenu. Jitahidi kubadilika sana
Waangalie vizuri hao walikaa pembeni hawajiamini kabisa hata nuru hawana kisa matendo waliyoyatenda ndi yanawahukumu.
Wanaccm wenzangu tubadilike hii ni vyama vyama vyote ndo maana Mpaka alitumbusha Tanzania ni Nchi ya vyama vingi.
Kwa hiyo tuhubiri Upendo sio kuubiri kuigawa nchi kiitikadi.
Siasa ni ushawishi sio ubabe na jeuri
 
Back
Top Bottom