Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjomba alikuwa Rais,Brother Paymaster General.Hana shida ndogo ndogo huyu.Dogo alikuwa na nyodo sana.
Sa hivi zam ya wapemba.
Dogo atulizane
Kweli maisha yanaenda Kasi Sana huyu Dogo leo anaongea maneno Kama kanyeshewa na mvua
Soma heading tu inatosha.Amesemaje huyo Kheri James Magufuli? Maana siwezi hata kusoma uchafu wake.
Mzee Mwanakijiji yupo dissapointed sanaaMzee Mwanakijiji Njoo umsikilize SKUMA GANG Mwenzio huku.
Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Hivi ni kweli second wave ndo imesimamisha kifaa?,au maneno ya watu..😂 😂 😂 😂
Angalia kumbukumbu zako vizuri mkuu, mimi nimeanza ku'comment jukwaa la siasa majuzi baada ya tetesi za kuwa Chuma kinaumwa. Siku zote kabla nilikuwa nachungulia na kusepa kimya kimya.
Jambo pekee nililomuunga mkono ni kutoweka lockdown tu.
Kimila nini hiyo?!Mwenyekiti Wa Uvccm Taifa Heri James amesema Uvccm inaomba radhi kwa watanzania Kama kuna Mambo walitenda ambayo yalichochea chuki,Uhasama na uadui kwa watanzania."Tuna haki ya kuombana radhi Kama Taifa ili kumpa fursa Rais Samia Suluhu Hassan aweze kuuongoza Taifa lenye mshikamano.
Huyu mwenyekiti kwa zile kauli za uchaguzi 2020, afanye kutuchinjia mbuzi tule na tunywe halafu tujadili hili suala.
Heri tuliojipambanua kabla bila ya unafikihalafu wewe ulikuwa unasifia sana,nikakwambia acha