UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

😭😭😭😭 waliteka na kutesa sana sijuwi mwisho wake walijua wa Tanzania wote zaidi ya 60M wataungana mkono mawazo yao!
Sijui walipa pata wapi haya marifa ya kishamba ya kuteka na kutesa 😭😭😭
Hakika Mungu ni mwingi wa rahma!!
Tulikuwa tumesha fika pabaya pabaya kuliko!!😭😭
 
Huyu Heri ni mpuuzi wa kiwango cha matope.
Yaani zile kauli zake za kuua leo ana ziombea msamaha?
Aseme aliua wangapi?
Anatakiwa ajue sasa utawala wa Kisukuma unaelekea mwisho. Unafiki wa kumtaja Mungu huku hamtendi sawa na mapenzi yake umekwisha.
Sasa Mungu katuletea mja wake. Mama Samia, mtumishi wa Mungu atutoe kwenye mateso ya miaka mitano.
Amina Amina Amina
 
Uvccm kwa kipindi chote cha utawala wa magufuli, wamekula sana bata! Yaani hawakufanya siasa zozoote zile za maana za kukijenga chama chao!

Maana pesa za kuwahonga wapinzani njaa zilitolewa kutoka juu, dhuluma, ukandamizaji, na uonevu vilifanywa mchana kweupe kwa wapinzani kupitia polisi na watu wasiojulikana!

Sasa haya yote yatabakia kuwa historia! Maana udikteta umekufa kifo ambacho hakikutarajiwa na wengi! Wakiwemo hao uvccm wenyewe na MATAGA kwa ujumla wake.
Sasa wameanza kuona mambo yamebadilika haraka sn
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] waliteka na kutesa sana sijuwi mwisho wake walijua wa Tanzania wote zaidi ya 60M wataungana mkono mawazo yao!
Sijui walipa pata wapi haya marifa ya kishamba ya kuteka na kutesa [emoji24][emoji24][emoji24]
Hakika Mungu ni mwingi wa rahma!!
Tulikuwa tumesha fika pabaya pabaya kuliko!![emoji24][emoji24]
Hii ni nafasi yetu watanzania kuzidisha maombi kwa mama yetu Samia awatupe kabisa watu kama huyu Hery James na Sabaya
 
Anayeomba radhi ni yeye James au UVCCM?

Manake chuki huchochewa na mtu mmoja mmoja!
Ameomba kama Mwenyekiti wa UV CCM, na kasema wazi kuna mahali CCM ilichochea uhasama.
Nakushauri na wewe Mwenyekiti wa wanaCCM wa JF mtuombe radhi watanzania wa JF kwa jinsi mlivyosababisha uhasama.
 
Ameomba kama Mwenyekiti wa UV CCM, na kasema wazi kuna mahali CCM ilichochea uhasama.
Nakushauri na wewe Mwenyekiti wa wanaCCM wa JF mtuombe radhi watanzania wa JF kwa jinsi mlivyosababisha uhasama.
Hawa watu hukumu yao ni kuwafungulia mashitaka ya uchochezi
 
Back
Top Bottom