UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan



Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Maybe is never too late
Screenshot_20210329-095707.jpg
 
Hakuna jambo la kishamba na kijinga kama kuteka na kuuwa!!
Bila kuambiana ukweli hatuwezi fika mbali kama taifa!
Ukweli ni dawa uwongo ni sumu!
Huwezi kutumia panadol kutibu maleria!
Sijui huwa watu wana fikiria nini kwenye mitandao humu humu watu ukikosa wanafikiria ku kuteka yani akili yao ni kuteka tu, tu, tu!!
Na siku zote wezi na ndio huteka ndio njia rahisi ya kupata mahitaji yao bila kutumia akili!
Kwa nini wasije na hoja!
Wana fikiri unaweza maliza matatizo ya wa Tanzania kwa kuteka!!
Hajui inaweza kuja kutokea watu nao wakaamua nao kuteka ama kuwekea sumu!!
Waache mambo ya kijinga waombe Mungu watu Mungu awasamehe sisi wana Adamu hatuna uwezo waku wafutia madhambi yao!
Alafu huwa wana hisi mbinu zile zile za kijinga za kuteka wanaweza kuzitumia hizo hizo milele hawa jui Dunia ni pana na wanadamu wana badilika kutokana na mazingira!
Eti una teka na kukata mtu mapanga kwani kuna mtu ana zikwa na mali! Au na watoto wake!
Usipo hukumiwa wewe wata hukumiwa wanao!!
Tujifunze kujenga hoja na sio mambo ya kishamba ya kuteka!
 
Sijui aisee, ila binafsi nilijiuliza chuma kilipata wapi ujasiri wa kufanya mikutano ya hadhara ilhali wimbi la pili lilikuwa limepamba moto.
Chuma alikuwa anaogopeka aloo,aliowaacha pia wamerudia yaleyale ya kuvua barakoa hata wakati Wa kumlaza,ili kumuenzi chuma.
 
Chuma alikuwa anaogopeka aloo,aliowaacha pia wamerudia yaleyale ya kuvua barakoa hata wakati Wa kumlaza,ili kumuenzi chuma.
Unajua tatizo ni kuwa, kama wangevaa barakoa ingeleta picha kuwa pengine chuma kiliyeyushwa na deportivo...kitu ambacho kingekuwa ni kama kukivua nguo chuma cha pua.
Kwa hiyo ni mwendo kutembea mapua wazi huku unasali kimoyomoyo.
 
Hii ni nafasi yetu watanzania kuzidisha maombi kwa mama yetu Samia awatupe kabisa watu kama huyu Hery James na Sabaya
Kabisa mkuu hakika Dua yangu ameipa!
Bila shaka Mungu ata ikubali Dua yangu maana sina dhambi ninayo itambua mimi kama mimi kuitenda!
Hivyo ina nifanya niamini Dua zangu kukubaliwa!
Mwezi Mungu mwingi wa rahma nina hakika ata mlinda na kumpa afya njema na umri wa ziada!
Hatukuzowea kuona wala hatukujua kuwa binadamu anaweza kufungwa kwenye viromba na kudumbukizwa baharini!
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hakika machozi ya mtu mwenye kudhulumiwa nafsi haya jawahi kwenda bure 😭
 
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi....
Viongozi wa kitaifa Wnatakiwa kutunza kauli ' public figures have to keep their words '
 
Ni wakati wa kuzika tofauti zetu.......tusitazame nyuma......tufungue kurasa mpya......tunaomba Radhi....dah
Maisha ni history. Pamoja na mambo ya nyuma usiotaka wayatazame . Huyu dogo ni mwaka Jana tu aliahidi kutumia sumu na si risasi tena . Na wapumbavu walichekelea

Odhis *
 
Back
Top Bottom