Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wamepata pigo kubwa sana kwa kuondokewa na aliyekuwa anawadekeza.Kila mtu ana tafuta pa kutokea kwa njia yake mwenyewe
Walikuwa wanajidanganya hivyo na waliaminishwa hivyoHahaaa kweli mataga watabaki kuwa hvyo,walidhan yule mwendazake ataishi milele????
Washachelewa maana mama yetu alikuwa anawatazama tu wakati wakiingia na kutoka kwa jiwe na majungu yao.Wanajishtukia
Ama kweli MATAGA wameanza kuonja joto ya jiwe.
Unajua kusoma?Anayeomba radhi ni yeye James au UVCCM?
Manake chuki huchochewa na mtu mmoja mmoja!
Ndiyo maana sasa hivi tunawaona wanavyo tapatapa kila kukicha.Uvccm kwa kipindi chote cha utawala wa magufuli, wamekula sana bata! Yaani hawakufanya siasa zozoote zile za maana za kukijenga chama chao!
Maana pesa za kuwahonga wapinzani njaa zilitolewa kutoka juu, dhuluma, ukandamizaji, na uonevu vilifanywa mchana kweupe kwa wapinzani kupitia polisi na watu wasiojulikana!
Sasa haya yote yatabakia kuwa historia! Maana udikteta umekufa kifo ambacho hakikutarajiwa na wengi! Wakiwemo hao uvccm wenyewe na MATAGA kwa ujumla wake.
Najua kuandika!Unajua kusoma?
Huyu Heri ni mpuuzi wa kiwango cha matope.Ama kweli MATAGA wameanza kuonja joto ya jiwe.