UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

Unajua tatizo ni kuwa, kama wangevaa barakoa ingeleta picha kuwa pengine chuma kiliyeyushwa na deportivo...kitu ambacho kingekuwa ni kama kukivua nguo chuma cha pua.
Kwa hiyo ni mwendo kutembea mapua wazi huku unasali kimoyomoyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili ndo gape la upinzani kujijenga kichama na kisera,muda wa kuchukua nchi umewadia,mchwa wameanza kutafunana wenyewe,mlivyo vilaza mtaendelea na harakati zenu za kukosoa utawala uliopita badala ya kutumia huu mwanya kujijenga!
Wewe ni miongoni mwao [emoji3517]. Unawalaumu upinzani kwa lipi !!. Watajijenga kwa siku moja ?. Upinzani umo mioyoni mwa watu Lutandagula

Odhis *
 
Aibu zimewashika... Wanaanza kubadili style ya ku-dance wakiamini mama atawa-entertain... Natamani mwezi July 2021 ufike chap.
 
Nimependa hio, kugeuka fasta Kama upepo au kubadili gia angani kama mjomba Freeman. Kweli katika harakati za kutafuta ugali binadamu hupaswi kuwa na aibu vinginevyo utalala njaa.

Ila ingependeza zaidi kama uongozi 'ungejivua gamba' waingie vijana wengine wastaarabu wenye maadili ndio watakaoendana na Raisi wetu mpya. Huyo Kheri James anatuektia tu kwani toka aingie hapo yeye ni kama copy ya jiwe sasa anabadilikaje na kuwa mkate??
 
Huku sabaya anatulaghai na maneno ya kutungiwa wakati tunamjua Ni gaidi, heri James nae anakuja na snema la kihindi 😂 , dah! huu ugali wa kujikombakomba ni wa shida sana.

Tunamsubiri makonda nae tuone atatoka vp
 
Kitendo cha mwenyekti wa UVCCM taifa ndugu kheri James kujitokeza hadharani na kuomba msamaa ni kosa kubwa sana la kukidharirisha chama na apaswa kujiudhuru vinginevyo chama kimchukulie hatua.

Meki-undemine chama na kuwapa nguvu wapinzani .Sasa hivi imekuwa ajenda yao ya kuona CCM sasa hivi imepoteana.
 
Kwa hiyo Mama Samia naye ajiuzulu maana naye alisema yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
 
Kitendo cha mwenyekti wa UVCCM taifa ndugu kheri James kujitokeza hadharani na kuomba msamaa ni kosa kubwa sana la kukidharirisha chama na apaswa kujiudhuru vinginevyo chama kimchukulie hatua.

Meki-undemine chama na kuwapa nguvu wapinzani .Sasa hivi imekuwa ajenda yao ya kuona CCM sasa hivi imepoteana.
Hajakosea amoena mwanga ,ametambua hakutenda haki kwa baadhi ya watanzania, amejua alikosea, amejua hawezi kufa na.chama,.atakufa Yeye na mbele Mungu atasimama yeye ,chama kitabaki duniani.

Badala ya kuhuburi amani , ni wakati sasa watanzania tuhubiri haki ambayo hiyo imebeba amani. Ccm himizeni serikali iwatendee haki watanzania . Wengi wao wanateseka magerezani kwa makosa yasiyokuwepo. Miaka 4 mtu yupo mahabusu ! Yendeeni watu haki , jamtatumia nguvu kusimamisha amani.
 
Back
Top Bottom