Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
kunguru wakubwa kabisa hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee,una ile clip akitaka wapinga Serikali wafanyiziwe huko kitaa?Nakumbuka kauli zake za hovyo huyu mwenyekiti wangu,kwamba mpaka tumtie mimba mkeo ndio ujue tunafanya kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na zile traffic lights zitasaidia ng'ombe wenu wasigongane na mbuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua tatizo ni kuwa, kama wangevaa barakoa ingeleta picha kuwa pengine chuma kiliyeyushwa na deportivo...kitu ambacho kingekuwa ni kama kukivua nguo chuma cha pua.
Kwa hiyo ni mwendo kutembea mapua wazi huku unasali kimoyomoyo.
Wewe ni miongoni mwao [emoji3517]. Unawalaumu upinzani kwa lipi !!. Watajijenga kwa siku moja ?. Upinzani umo mioyoni mwa watu LutandagulaHili ndo gape la upinzani kujijenga kichama na kisera,muda wa kuchukua nchi umewadia,mchwa wameanza kutafunana wenyewe,mlivyo vilaza mtaendelea na harakati zenu za kukosoa utawala uliopita badala ya kutumia huu mwanya kujijenga!
Erick Ngambeki alisema safari hii watamuua Lissu kwa SUMU tu.
Hajakosea amoena mwanga ,ametambua hakutenda haki kwa baadhi ya watanzania, amejua alikosea, amejua hawezi kufa na.chama,.atakufa Yeye na mbele Mungu atasimama yeye ,chama kitabaki duniani.Kitendo cha mwenyekti wa UVCCM taifa ndugu kheri James kujitokeza hadharani na kuomba msamaa ni kosa kubwa sana la kukidharirisha chama na apaswa kujiudhuru vinginevyo chama kimchukulie hatua.
Meki-undemine chama na kuwapa nguvu wapinzani .Sasa hivi imekuwa ajenda yao ya kuona CCM sasa hivi imepoteana.