Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

...billion 1.4 imepigwa, na yawezekana kabisa hata huyo kigogo alikuwa miongoni mwa wanaomtafuta na aliipiga hiyo 1.4bn!
Huyo ni syndicate kubwa kama mtoa mada ulivyosema, na nadhani yupo ndani ya tiss huko huko!

Lakini pia inawezekana ikawa ni hadaa, kukamata baadhi ya watu wanaomkosoa Magufuli! Hasa wale wanaompa kigogo taarifa, wawe makini, anaweza kuwaponza wengi wakidhani yupo upande wao, kumbe ni trick tu! Akimaliza kazi yake anapotea huko twitter...

Lile group la wachungaji[emoji848]
 
TISS haipo simple kama mnvayo ichukulia. Ina watu smart na wenye IQ kubwa sana na wanatenda kwa sehemu zao kwa weledi wa hali juu,vivyo hivyo kuna vichwa maji mle na ndio wanaipaka idara matope ya mavi...
Hao vichwa maji TISS iliwapataje kama unadai iko smart? System gani smart inakuwa na maafisa wengine vichwa vinamaji labda unaongelea system ya Nazi maana hiyo ndio huwa ina maji ndani.
 
Kwa ukweli sidhani kama huyo Kigogo ana effect kubwa kama mnavyokuza na hizo siri nzito , siri gani hizo? na zimeleta effect gani kwa wananchi na watawala? Tatizo wabongo wanapenda sana umbea, hivyo vitu nchi zilizoendelea wamejaa kibao, hila watu wengi hawana time nao sababu watu wana kazi za kufanya. Kwa mfano mtu akikuambia "fulani jana kalala na fulani" inakusaidia nini wewe? Kuna ajabu gani hapo? au uzito ni nini? wabongo tufanye kazi tuache umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hana Effect hizo 1.4 Bill zulizotumika kumtafuta ni za nini? Are you serious?
 
Siri gani za maana alizotoa Kigogo 2014? Uliza kilichowakuta waliokuwa wakimpellekea kinachoitwa Siri Mange Kimambi! Hadi Leo wamebaki midomo wazi huku wanalia wakimtuhumu Mange Kimambi kuwa ni TISS aliyewaanika!!!
 
Yaan ulianza vizuri tu Ila huko chini ni vuruvuru
 
Hata hujitambui, upo upo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…