Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Wewe na Kigogo mnajua nini? Au unadhani Tanzania ni nchi ya kusadikika. Huko twitter watanzania wanajua ni nani na anaishi wapi. Aje Tanzania aone.
Achana nae huyo anajua kuwa kigogo Ni mtu wa nyanda za juu kusini akaee kimya tu
 
Duh,,,,amakweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Mbowe.
yani serikali ipoteze muda kumtafuta kifogo?
 
Kigogo ni black hackers huwezi mkamata black hackers hata siku moja hizi ni level za mossad,au CIA na sio watoto wa IT wa UDSM
Haaaaaaaaa watu wanajua mpaka VPN na ant virus anayotumia inaisha lin usione watu wako kimya na kupa principal moja usijetegemea ukiwa blackhakers hutokamatwa utakamatwa tuunajua kwann jamaaa 24hrs Yuko online????? Watu wanachek vulnerability ya kumnyambua tu

Tech Ni kubwa Sana aiseee achana nayo kabisa watu wanajua meng hakuna msalit yoyote Alie salama anae jificha nyuma ya mwamvur wa keyboard.

Unadhani kwann mange hawez Rudi tz anajua kitakacho mpata

Hao akina kigogo Ni vijana wachache wanaotumiwa bila kujijua Kama wanatumiwa na mwisho wao Soon utaisha huu mwaka hauishi utapata majibu
 
Ingekuwa simple mda mrefu Sana msingepoteza muda.
Mmeshindwa nn sasa
 
Unakimbia Nini Sasa unakimbia TISS au umebanwa haja kubwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpe salamu kigogo mfalme wa burundi anamsalimie mwambie nishapeleka gar ilula
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpe salamu kigogo mfalme wa burundi anamsalimie mwambie nishapeleka gar ilula
Burundi huwa hawasalimiani na mtu wasiyemjua karibu Burundi kwenye warundi na wasio warundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…