Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa faini na penalties nyinginezo

Mtu yeyote ambaye katika sehemu yoyote ya hadhara au katika mkutano wowote wa hadhara anatumia maneno ya vitisho, matusi kwa nia ya kuchochea uvunjifu wa amani au pale ambapo uvunjifu wa amani unaweza kutokea, atakuwa ametenda kosa.
 
20250411_190020.jpg
 
Back
Top Bottom