Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Umesahau kitu kimoja. Tutajie na wasanii watakaotumbuiza katika hiyo fiesta ya CCM
 
shame on you...Yaani kwa miaka hii unawaza kuhusu udini khaaaa!!!!!
 
Show Kali.
Baada ya uchaguzi utaona

Mimi ni muislamu nasafari Sana na nipo msikitini

Kama alivyo Sema Dkt Bashiru CCM haipendwi na Wasomi na wenye uchumi ila kwa wale wenye maslahi inapendwa na darasa la saba na watu masikini ambao wengi wao ni waislamu
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie Lissu kura ubarikiwe pia.
 
Yaani naona kabisa harufu ya wakuu fulani kukosa kazi .....mahudhurio ni mabovu hadi huruma ....sijui aliyewashauri wakuchukue uwanja mkuu ni nani .....hapo kwenye majani ya kuchezea yenye penyewe watu hawajaweza hata kujaaa ......WAMEHARIBU MAJANI BURE TU KWA AJILI YA KUTAKA SIFA
 
Na Magufuli ndiyo kaingia alipoona hali ya uwanja mpaka sura imebadilika. Mbaya zaidi hata wazee wastaafu hakuna. Pia tuliambiwa waendesha bodaboda na mama lishe watamsindikiza. Au walikuwa kwenye yale ma V8?

Lissu alishamwaga sumu ya king Cobra wallah
 
Huyu mgombea wa CCM segerea kwa kweli atuombe radhi kwa fix nadhani kwanza mwenyewe anaona aibu maana hakuna kitu kilichofanyika kwenye hili jimbo kwa miaka 5 anasema jimbo la Segerea maji yanapatikana 98% hivi anaona watu hawana ufahamu Kinyerezi karibu yote maji ni ya kununua kwenye magari dumu la lita 1000 elfu 15 ndoo 500 halafu anasema maji yapo, huo mradi wa DMDP sijui upo maeneo gani kipande tu cha barabara ya kimanga tu imechukua miaka karibu minne kukamilika nk huyu ana shida au hata hakujua anachozungumza hili jimbo kama kuna kilichofanyika ni 15% tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…