NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Simba wakishinda viporo vyake vyote atakua na points ngapi?Utopolo wametepeta tena. Sare ya 3 mfululizo kwenye ligi. Simba akishinda viporo vyake vyote anakuwa na pointi +2. Tuendelee kuwaombea washinde Simba.
Tupe matokeo, mvua na jua ikawaje tena mtani?Makubaliano ni kuwa kwa kuwa Sarpong na Fiston wanasemwa sana leo wapate nafasi ya kufunga. Wote au mmoja wapo hatakosa kuondoka na Goal.
Ila kubwa na la msingi ni kuwa iwe mvua liwe jua leo lazima Yanga tushinde. Match iliisha jana. Meck Mexime au Wanakagera Sugar hawana ugomvi na Yanga. Hawana haja ya kucheza kwa kukamia. Mpira ni starehe wanapaswa wacheze kwa ku relax.
Wanayanga popote mlipo leo muwe na amani na furaha. Achaneni na match ya Mbeya wale wanyak wapuuzi walijifanya wanaume sana.
Leo tupo na Wahaya. Hawa hatuna shida nao tunawafahamu. Hawana moyo Mgumu. Points tatu muhimu. Kocha wa Kagera Sugar anafahamu umuhimu wa sisi kupata points 3.
Safi sana!! Na leo wamedhihirisha uhalali wa kuitwa utopolo!Utopolo= Mrenda mrenda
Genge La Wahuni WachacheDaaaa utopolo hamna timu hakyani
Uwezo wao umeishia hapoYanga ni kama kikundii tu cha ngoma wala tusiwalaumu wachezaji wote wamecheza kwa uwezo wao wotee ila uwezo ndio umeishia pale
[emoji196][emoji196][emoji196]Yaani hawa ndio wanataka wachukue ubingwa wakacheze klabu bingwa? Hebu kuwe serious jamani..!
Upo uwekano sio bodi ya ligi na TFF tu, hata FIFA wachunguzwe wanaikandamiza Yanga! Anyway ' Vimba Mwanayanga Vimba' msemaji kasemaHivi awa waamuzi kutoziona izi penalty wanazo stahili kupata Yanga ni makosa ya kibinadamu au ndio rushwa michezoni. Maana linaonekana Kama Jambo linalo endelea na mbaka sasa halionyeshi mabadiliko. Awa wachezaji wa Yanga ni binadamu Kama wengine wanavyo porwa ushindi kwa njia Kama hizi kunasiku uvumilivu utawashinda watajichukulia hatua. Bodi ya Ligi iwe makini Kuna Jambo si la kawaida linafanyika kuvuruga mpira.
Aaaah unafiki wa kihaya huuKwa kweli Yanga leo wamewakalia vibaya Kagera...na kuwezesha kulazimisha droo ya 3-3 baada ya kagera kuongoza mda wote huku yanga wakisawazisha...Naiona Yanga iliyobora sasa tofauti na il ya mwaka jana...Wakiendelea na juhudi hii hawakosi nafasi ya pili msimu huu