Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Chuki zitawaacha vibaya kwa kuongea kila lisilojema dhidi ya msiba huu.
Hata kama wakikodishwa kuja kulia wewe inakugharimu nini hasa?
Kunawatu hawana uwezo wa kufika hapo je wakisafirishwa kuna ubaya gani?
Ulitaka watu watoke chalinze kwa mguu kuja kuaga wakati usafiri upo.
Ukiwa na hakili za kushikiwa kama zako ni shida sana
Kwahiyo ķila wanachosema na wewe unadakia eti?Mkuu kuna wanaosema hivyo...mimi ninebaki kuwashangaa sana
Tatizo hujiongezi wanaposema kafa mapema wanamaana yao ikiwemo alostahili kumaliza muhula wake na kumalizia alivyovianzisha kwani kumekuwa na desturi kiongozi anapofariki basi alivyoanzisha navyo huwekwa pembeni kwa hila mf. SokoineHakuna kitu kama hicho mtu kafa amekufa kwa wakati wake hii biashara ya kusema eti kafa bado mapema nitapingana nayo hadi kufa kwangu.
Mbona akifa mtu kuanzia miaka 90 na kuendelea hamsemagi hivyo?huo ni unafiki mamboleo
Kila nafsi itaonja mauti, usijione kwa vile una nguvu za kuandika hapa ukadhani hutokufa, mimi na wewe sote ni marehemu watarajiwa na siku yetu hatuijui, bora yeye ameshaimaliza,Maneno hayo aliwahi kuyasema mzee wako na matokeo yake leo mnayaona.
Sawa Comrade.
Haya fanya hima bila Barakoa na ukiwa na Mungu wako tuu enenda uwanja wa uhuru Day 2 tena kajiridhishe kama ni Niyeyeee!
Watu wa mataifa wanasema leo amebadilishwa jumba.
Wamelazimishwa na nani? Una ushahidi gani? Mi niko mtaa wa Lindi na Msimbaz nipo hapa sijaona mtu yoyote analazimishwa kwenda Taifa.Mkuu hapa kariakoo machinga wote wamelazimishwa kwenda kwenye msiba.
Mkuu hapa kariakoo machinga wote wamelazimishwa kwenda kwenye msiba.
Wamelazimishwa na nani? Una ushahidi gani? Mi niko mtaa wa Lindi na Msimbaz nipo hapa sijaona mtu yoyote analazimishwa kwenda Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe summary ya hii ndefu sana siwezi kuisoma yote.Kila nafsi itaonja mauti, usijione kwa vile una nguvu za kuandika hapa ukadhani hutokufa, mimi na wewe sote ni marehemu watarajiwa na siku yetu hatuijui, bora yeye ameshaimaliza,
Jitafakari wewe utakufa kifo cha aina gani?
Cha kupondwa pondwa na kontena nduguzo washindwe kukutambua, cha kuungua na moto ubaki umekauka, cha kuzama baharini uliwe na samaki, cha kugongwa na chombo cha moto na kubaki mshangao kwa mashuhuda.....
Tujitafakari pumzi isitupe kiburi.
Kwenye jiji la watu milioni 7 walioumia ni asilimia 2 tu
Sasa huwezi mpangia Mungu hapo wakisema hivyo ni kama wanamkosoa Mungu sasa.Tatizo hujiongezi wanaposema kafa mapema wanamaana yao ikiwemo alostahili kumaliza muhula wake na kumalizia alivyovianzisha kwani kumekuwa na desturi kiongozi anapofariki basi alivyoanzisha navyo huwekwa pembeni kwa hila mf. Sokoine
Kafa kishujaa sio kama yule mlambalamba soli za mabeberuManeno hayo aliwahi kuyasema mzee wako na matokeo yake leo mnayaona.
Na ndiyo maana tumesisitiza sana wajane mpokonywe simu hadi mmalize Eda ndiyo muingie humu JF.Kafa kishujaa sio kama yule mlambalamba soli za mabeberu