UWATA wamesambaratisha familia yetu

Moja UWATA siyo dhehebu na hakuna thehebu kama hilo ni fellowship kama ilivyo tafes au tycs kingine hizo taratibu za UWATA unazifahamu? Kama huzifahamu wawezaje kuwabeza au kuwasema vibaya kwa hisia zako tu? Huoni kama unamkosea Mungu maana Mungu anaitaka mtu wake aivae kweli. Na uongo ni wa ibilisi kusema kitu usichokijua unaona ni sahihi ?
 
Poleni, Mimi ni mzee wa Kanisa la TAG huku nilipo ila na nimetumika kwenye makanisa na kukutana na wachungaji wengi na wa kila namna ila nawashauri katika kitu ambacho mtu anatakiwa kwa sasa kuwa makini nacho ni issue za kanisani.

Kuna wengi wameingia makanisani ambao sio watumishi wa Mungu. Wao ndio wanawafanyia wenzao mambo ya hovyo ya namna hiyo. Unatakiwa kuwa makini sana na wachungaji wa sasa, unatakiwa uwe na imani yako na hutakiwi kumuamini mchungaji kwa namna yoyote ile. Mi nipo chini ya mchungaji ila kuna baadhi ya vitu akifanya/kutenda huwa siviafiki wala simfuatilii. Sasa makanisa mengi kuna ukatili na bullying za hali ya juu. Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Tunakoelekea tutaacha kusali. Hizi ibada zina onekana ni upigaji kuliko maendeleo

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hao UWATA ni madhehebu gani? Mbona inasound kama chama cha kitume cha wanawake ndani ya kanisa Katoliki?
Chama cha Wanawake Wakatoliki ni (WAWATA) Wanawake Wakatoliki Tanzania hao UWATA ni Uamsho wa Wakristo Tanzania. Nadhani sijakosea
 
Heri yako wewe umekumbatiwa. I’m done with you maana hata mngetaka kunikumbatia nisingekubali. Nyinyi ni mashetani. Na huyo mtu endeleeni kumng’ang’ani mkimchoka mkumbusheni sisi hatukumchoka.
Pole mamy uwata hata humu wapo wanakushambulia masikini
 
Wamejikita sana huko mbeya it's like a cult,wanamiliki baadhi ya shule Ila nasikia wanamatatizo kwenye namna ya kutumia fedha zao za taasisi,pia huko unaweza pigwa hata fimbo,ki ujumla Ni mojawapo ya watu wanatakiwa kupigwa bani
 
acha upuuzi wapi nimesema ni dhehebu?
kingine UWATA nawajua in out home nimekua na member wake zaidi ya watano na walikua founder wa tawi lililokua mita 500 tu toka maskani kwetu kiufupi ni cult tu hakuna Maajabu niwazushie uongo kwa maslahi gani?
 
We jamaa fala kinoma
 
acha upuuzi wapi nimesema ni dhehebu?
kingine UWATA nawajua in out home nimekua na member wake zaidi ya watano na walikua founder wa tawi lililokua mita 500 tu toka maskani kwetu kiufupi ni cult tu hakuna Maajabu niwazushie uongo kwa maslahi gani?
Maslahi ya hisia zako na chuki zako
 
Maslahi ya hisia zako na chuki zako
chuki ya nini kwao?
kwahiyo mtu ukiwa mkweli ni chuki?

wale ni cult tu huo ndio ukweli na wana mental za kislave hawaijui kweli ya Kristo
thats why wana moral and dogma walizojitungia wenyewe halafu wanaaminisha waumini wao ni Mungu kasema hiyo ni mbaya sana ni uongo wa Ibilisi kuwafanya wawe mateka wa sheria na ţorati ili washindwe kufaidi ufalme wa Mungu hapa duniani!
 
Unaposema mwl bora Kyela nzima unamaanisha nini? Katika aspect ipi? Ana evidence ya ku9nesha uboea wake e.g vyeti, nishani au appreciation yeyote kutoka TAMISEMI? Nditlye anayetoa T.A's miaka yote? Mi sijakuelewa bado chief, nieleweshe

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ufalme wa Mungu hapa duniani wamaanisha nini? Au ni uhuru wataka wa kuzini wataka uambiwe usizini?


Kingine ulisha sali kwao? Tupe uhakika kuwa ni cult. Kwa uthibitisho.

Wanaposema Mungu anasema nao ni kwa muktadha gani.

Tupe evidence la si hivyo ni chuki kwao. Tuwekee evidence hapa.

Kama huna basi futa comments za chuki kwa hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…