Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Kumbe ndo wanapokamatwa? Jamaa wanajua kucheza na akili za watu[emoji1][emoji1]

Kidogo nimuulize mleta mada kuwa SBT na Befoward hakuwaona? Kumbe alifata kamserereko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimewafollow insta, na kuna mtu nilimwonyesha alikuwa nahitaji gari ngoja nimpe taarifa asije jichanganya maana alitaka nae alipe nusu nusu ndani ya mwaka
 
Unaweza kuta unaongea haya ukiwa unachunga mbuzi kyagata huko.
 
Watu wanashabikia swala la ubabe lakini naamini hakuna mwenye uwezo huo wa kwenda kufanya wanayoyasema.

Kuamka kutoa pistol na kushoot inahitaji moyo uliooza kidogo na siyo mfanyabiashara mwenye uwezo wa kumiliki pistol. So umeshoot na hana pesa ya kukulipa, utafanya nini? Utammalizia? Ukimuacha akienda kukuripoti?

Mi najua umetuambia unaenda popote na utaleta majibu, so hicho ndiyo nafikiri ungefanya.
 
Asante.
Kwa uandishi huu, kama jamaa atasoma hii comment lazima atakutafuta.
Umeandika kiprofessional sana.
 
Daah,haya hivi vijikampuni vya mifukoni ni hatari, yaani hawa wanaharibia mpk wenzao kazi, wote wataanza kuonekana ni wahuni
 
Na mimi nilikuwa najiuliza, hawa watu wana pesa kiasi gani kiasi kwamba kila mtu anaweza kuagza gari lolote akalipa nusu na kuimaliza pesa iliobaki ndani ya mwaka
Wala haihitaji mtaji mkubwa sana. Kifupi wanakupiga riba kubwa.
 
Pole sana mkuu nakishauri komaa sana kwa njia yoyote kupata haki yako.

Siku nyingine nakushauri, hata kwa mtu mwingine anae taka kuagiza gari, achaneni na kuagiza gari kupitia kampuni ya kibongo,

Maisha yamerahisishwa sana hata kwenye simu yako ya mkononi tu unaingia kwenye site zinazo aminika za befoward, sbt, realmotorjapan, enhance auto na kadhalika unajichagulia mkwaju unao utaka tena wenye sifa zote za kueleweka na kuaminika unanegotiate nao bei unawalipa wanakutumia gari yako mpaka daslam, kazi yako ni kusubiri mwezi auu mwezi na nusu kutafuta hela ya clarance na kutafuta agent wa kukusaidia hiyo kazi

Haya mambo ya kuagiza gari kwa kupitia mtu kati ni mambo ya mwaka 97 na mambo ya kishamba na uoga uliopitiliza kwamba et ukituma hela japan utatapeliwa, huyo mtu kati kwanza ndo kwa kwanza kukutapeli, katika mazingira kama haya oneni amesha mtapeli mtu na anamjibu mpaka jeuri,

Pili anakuagiizia the cheapest and dented car ya bei rahisi kuliko zote gari imechoka ambayo kule wanauza bei ya kisafishia yard ili anaechukua akafie mbele nayo mbali huko.. dalali anafanya ivo ili apate kusave hela nyingi sana kutoka kwako kwako.gari imetembea kilomita kibao ikifika bongo anazishusha anakwambia gari imetembea kidogo, kumbe imezurula japan yote na vichochoro vyote imemaliza.

Tatu hata akifanikiwa kukuletea gari unayo itaka au ulio i point, tayari atakuwekea mazingira flani akupige cha juu kisicho pungua milioni 2 sasa huu upuuzi mpaka lini mtafanyiwa?.

Jabani Kubalini kubadilika na dunia inavobadilika, ingieni site wenyewe chagueni gari mnayotaka, hata ukiwa choon unakata gogo unaperuzi unachukua chuma unayotaka unaepukana na janja janja za wabongo.

Tusiogope kiasi hiki na sasa ivi vikampuni vya insta vipo vingi na havina hata ofisi mahali popote, vinatapeli sana watu ukiagalia kurasa zao zimejaa magari na vina subscribers hata 3k, wanachukua picha za befoward wanaweka kwao wana sindikiza na caption za kupambwa na maneno mengi na uongo mwingi "eti ukiagiza gari kwetu unapata bima comprehensive ya mwaka mmoja bure", we uliskia wapi??? Maana ake anakupiga hela nyingi ambazo hata akikupa hiyo bima bado anakua hajapata hasara.
 
Nilishaletaga uzi hapa kutaadharisha huu utapeli na watu walisoma uzi kimasihara...huo mtandao wa utapel umekithir hapo posta..na watu wanapigwa balaa..ila ukichunguza ni uzembe na ujinga...wa anaepigwa...jamaa wanakodi ofis kabisa..had lesen..had wafanyakaz..page mitandaon etc...utasema ni kwl..ila misho wa siku unapigwa...na polis pale central ukienda utazungushwa tuu..wamewachoka hao jamaa..kuna kesi hzo kama 100 hiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watz kuweni makini na haya makampuni ya nusu bei, lipa kidogo kidogo kwa awamu.
Tumepigwa jumla ya bilioni moja na milioni 400 kwenye viwanja jumla ya watz 250 wa Dar, MWANZA, Arusha, Dodoma na kampuni ya VKP investment for youth development ya mmiliki ni YONA kesi ipo mahakamani hana hata kumi ya kulipa.
 

Sijawahi kumuelewa Mtanzania Mimi jaman, unashindwaje ingia berforward, ukachagua gari, ukatuma hela mwenyewe?

Kwa nini mnapenda kufanyiwa kila kitu? Hapo Ndugu umepigwa, na labda ukawaloge, even Police will not help you, that I know for sure!
 

Ukihudumia watu chai, unaweka na vitumbua, we Waiter wa Wapi wewe?

Hawa Jamaa wakikuzulumu huwa hawana hela, sasa huyo wako Ka deposit toka crdb ya Baba yake au?
 
Sometimes mnayataka wenyewe. Kuna well established companies kama BF,SBT,Trust sasa kwanini uende kwenye vikampuni uchwara vya Instagram?
Mkuu huyu jamaa kashindwa kuweka wazi,hicho kikampuni kama sio mtu wa tamaa huwezi kufanya nao kazi.

Ipo hivi,hao sclt wanachofanya ni kuwa una deposit ela nusu gharama ya hiyo gari unayotaka kuagiza,alafu gari ikishafika bongo wanakukabidhi na wewe unamalizia deni lao ndani ya mwaka huku unatumia hiyo gari.

Sasa offer hii kibongo bongo inawezekanaje na bado hatujafika huko.

Huyu mwamba kashatapeliwa na hata akikomaa nao ela atarudishiwa lakini wahuni watakuwa washaizungusha kwenye mishe zao.
 
Mwanajf mmoja akiibiwa ni sawa na tumeibiwa wote ngoja kwanza twende kwenye page yao tukakichafue tuone wanatokea wapi
Halaf ..wanachofanya..wanatumia account ambazo znafanana na account halali ..yaan kunakua na kampun halal kabisa ambayo inafanya hyo kaz so nao wanatengeneza na ku copy kila kitu na hyo account ...wakishapiga hela wanafuta hyo account fake..wew ukiwatafta u awapata wale wenye kampun real..unaanza lalamika..wao wanafuta yao...yaan wanabadil jina labda kuongeza nukta tu kwenye jina la kwwl..so kua makin..umepigwa mkuu..nilishawai weka uz hapa wa hao jamaa na wengne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…