Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Mkuu hao jamaa ni ma pro..yaan wanafungua account fake insta or fb..wanachkua ofis posta..wanaweka samani ndan kila kitu yaan wanajiandaa.wanaajiri had watu tena weng wadada..yaan inakua ofis kamil ukienda unakuta wana kila kitu...wakishawakusanya watu wa kuwapiga pesa wakiwa weng...wanapotea mazima na wanasusa ofisi...ukienda pale central kushtaki askar wana hzo kesi zaid ya 100..so unabak kuzunguka tu na mpeleleZ..hahah..hyo niliandika uzi mwaka jana mwez wa 11..kuna mwana nae alipigwa huku na jamaa..vipo vikampun ving vya utapel hvyo na maara nying boss humwon..unakutana na wafanyakaz tu...na account number binafsi za boss na kampuni..hela inaingia kwa mtu binafsi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mimi ntaenda huko popote na nitawaterea mrejesho kutoka huko popote
Nikikumbuka ishu ya jamaa aliyemfanyia umafia wakili halafu nikicheki na huu mkwara, naona kabisa kuna mtu anaelekea kuzimu
 
Hahah, vijana wnaamaliza vyuo hakuna ajira.. wanatumia elimu zao na akili kufanya utapel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah. ..vijana wnaamaliza vyuo hakuna ajira..wanatumia elimu zao na akil kufanya utapel

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapeli au ujinga wanaanzisha kampuni wanapata pesa wanapeleka kwenye chupi kampuni zinakufa wanarudi kwenye umasikini.
Chek kama wetu alifikia level ya mtaji wa kuzungusha bilioni moja amekula zote
 
Sijawahi kumuelewa Mtanzania Mimi jaman, unashindwaje ingia berforward, ukachagua gari, ukatuma hela mwenyewe?

Kwa nini mnapenda kufanyiwa kila kitu? Hapo Ndugu umepigwa, na labda ukawaloge, even Police will not help you, that I know for sure!
Tatizo ni kupenda mambo rahisi cheap things are expensive......
 
Kwenye masuala ya pesa watu huchanganyikiwa, mwingine anaweza hata akakumwagia tindikali
 
Mtaalamu ni mfanyabiashara hawezi Acha pesa utakula story za umekosea masharti.
Hakuna mganga akwambiae hawezi

Hujawai kwenda kwa waganga, wapo anakwambia dawa hizo sifahamu nenda kwa fulani.

Wachana na hao waganga wana simu za whtasp
 
Mkuu umenigusa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna jamaa alinitapeli hela mingi miaka saba iliyopita kisha akanigeuka kisa hakukuwa na shaidi hivyo kesi ikawa haina ushahidi ikala kwangu.
Sasa nimekaa miaka yote hiyo sijawahi kusahau ndio mwaka jana mwishoni nikapata idea mpya nikafanya upepelezi na kupata details zote zinazomuhusu nikapanga safari ya kustukiza nikiwa na jamaa zangu wawili wababe tukazama ofisini kwake tulichokifanya ni hatari sana ila mwisho wa siku pesa yangu ilikuwa 2.5 m lakini tulifanikiwa kuchukua 4m na hakuna aliyeshtukia wala hatukuumiza mtu tukasepa kimya kimya yaani kama movie hivi
Nasikia jamaa alizinduka kesho yake jioni akiwa hospital baada ya madawa kuisha kichwani
 
mkuu una account ngapi hapa jf

Mbwa dume
Mbao za Mawe
mbuzimawe99

Huyu ni same person
 
Bwana MONOPOLY, Account yangu ni hiyo moja tu,labda kama hizo nyingine umenifungulia wewe sawa,ni vema ukaweka Ushahidi kama hizo Account ni zangu
 
Utapeli au ujinga wanaanzisha kampuni wanapata pesa wanapeleka kwenye chupi kampuni zinakufa wanarudi kwenye umasikini.
Chek kama wetu alifikia level ya mtaji wa kuzungusha bilioni moja amekula zote
Ndio shida ya sisi vijana , unashindwa vipi kuwafanyia huduma watu kwa uaminifu ?

Mbona Mambo mengine Ni kuwaharibia wengine fursa na waonekane wote matapeli
 
Hii imetulia πŸ”«. Nina uhakika hakulala usiku wake. Faken kabisaa
 
Unaenda kuliwa hela nyingine
Daahhh!!! wewe ni msomalia[emoji38]
Naunga mkono hoja, upewe kazi ya pili.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…