Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

Mkuu
 
Aah sasa nimekumbuka ni wewe, juzi usiku sana nilichangia uzi mmoja wa airBnB nikataka nimtag member anayependa real estate ila sijawahi ona anazungumzia airBnB. Vipi guest yako mkoani inaendeleaje, nilipendekeza uweke free breaksfast.
 
Huo Uzi sijauona Mkuu, labda niperuzi kwenye jukwaa husika

Nashukuru nilifanyia kazi yale maboresho yako, alhamdulillah biashara inaendelea vizuri

Nimeanza Ujenzi wa lodge ya pili

Mungu akipenda miezi 2 ijayo huenda nikaikamilisha

Kila la heri kwenu nyote wapambanaji πŸ‘πŸ‘πŸ’ͺ
 
Umeielewa vyema sana real estate mkuu!
 
Aah sasa nimekumbuka ni wewe, juzi usiku sana nilichangia uzi mmoja wa airBnB nikataka nimtag member anayependa real estate ila sijawahi ona anazungumzia airBnB. Vipi guest yako mkoani inaendeleaje, nilipendekeza uweke free breaksfast.
Huyu jamaa kaisanukia sana sekta ya real estate aisee!
 
Kupambana muhimu mkuu, hadi kieleweke!
Naona business ya lodge umeilenga mkuu!
 
Kupambana muhimu mkuu, hadi kieleweke!
Naona business ya lodge umeilenga mkuu!
Hakuna kukata tamaa hadi kieleweke Mkuu πŸ’ͺ

Biashara ya Lodge nimetokea kuielewa sana Mkuu, na iwapo fedha zingekuwa zinapatikana ningehamia kwenye Biashara ya Hotel

Kwenye hayo maeneo, fedha ipo maana mtu halali hadi alipe Chumba πŸ€—
 
Uzi wa muda ila niliona juzi nikachangia hivi
 
Hapo kwenye hoteli kunalipa sana ukiiuweka mahali sahihi.
 
Kuna maeneo nyumba bei rahisi yaani Kodi 250k kwa mwezi 🀣 halafu kuna watu bado wanalalamika maisha magumu...
Huku kwetu ungepanisha kwa 200k hadi 250k na hakuna angelalamika hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…