Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Anyways mada kama hizi in jf zinaonyesha bongo tunaondoka kwenye utapeli huu
Karl max aliwahi kusema 'Religion is opium of the mass' aliamini kwamba with communist ideals and time religion inge sahaulika lakini mpaka leo Italy bado kuna dini na ucommunist umetoweka... Huwezi futa dini kwnye maisha ya mtu watatokea watu kama nyie lakini mwisho wa siku maisha yatabaki vile vile..
 
Kufungulia uzi uwepo wa melo maana yake kuna wasiwasi pahala.
Nakitu ambacho kina shaka kipo.
Kwa fikira zako umeshindwa kutambua uwepo wake
Na kuto tambua wewe haina maana na wengine hawatambui
 
Sawa ila kupungua kwa dini na waumini is a great sign...
 
Mfano wako hauwenda na mada husika.
Umeuliza mantiki yangu ya kutumia muda mwingi kwenye kitu ambacho hakipo.

Nimekupa mfano wa imani kwenye dawa ambayo haipo inavyoweza kuharibu maisha ya watu, na daktari bora anavyoweza kutumia muda wake kuelimisha jamii kwamba dawa inayouzwa ni feki, ugonjwa haujapata dawa bado.

Hujaelewa nini hapo?

Una uwezo mdogo wa kuelewa hivyo?

Labda ndiyo maana hatuelewani.

Hebu nirudie.

Mimi nawaonya watu kwamba mbele ya njia hii, daraja halipo, limevunjika, wakienda kasi, wataumia katika ajali.

Wewe unanihoji, kama daraja halipo, kwa nini napoteza muda wangu kuonya watu daraja halipo?
 
Being spiritual is just another of supporting religion.. Btw can you prove presence of spirits in a being...
 
Naamini JF wachawi wapo njoo huku muthibitishie huyu mtuu,
 
Miaka mingi imepita tangu nilipotoa kidau kwa mchawi yeyote atakayeweza kuniroga vidole vyangu visiweze ku type, nisiweze kuja JF kuandika.

Mpaka leo hakuna mchawi akiyeweza kufanya kazi hiyo.

Cc Nyani Ngabu
Unaomba kurogwa JF you are kidding... Nikushauri fanya hivi nenda kwenye media yeyote hata local yakwenu.... Af tangaza watu wakuroge...
If you're desperately curious nenda sokoni siku tatu tu tangaza kwamba kama kunamtu anaweza kukuroga akuroge kaa chukua popcorn subiri shoo...
 
Ukitumia hoja hiyo, unaweza kusema kitu chochite kinawezekana, na hivyo, hoja hiyo inakosa maana.

Tuna akili, hatuwezi kuthibitisha kuwa tuna akili. Basi inawezekana wewe ni Elon Musk, bilionea wa kwanza wa dunia, ila hatuwezi.

Kutoweza kuthibitisha tuna akili, kamankwelibhatuwezi kuthibitisha, hakuthibitishi lolote zaidi ya ukweli kwamba hatuwezi kuthibitisha kuwa tuna akili.

Ukianza kusema wewe ni Elon Musk, tajiri wa kwan,a wa dunia, itabidi uthibitishe hilo.

Hutakiwi kutumia hoja ya kwamba hatuwezi kuthibitisha kuwa tuna akili kama uthibitisho kwambabwewe ni Elin Musk, Mungu yupo au kingine chochote.
 
Unarudi kule
Unarudi kulekule kwenye uwepo wa vitu usivyo weza kuvielezea uwepo wake ila vipo... Whether uchawi ni tricks au la ila upo!
 
Kwenye media sasa si mtu anaweza hata kukutumia hitman au chemist akutilie dawa kwenye chakula.

Kama kuna uchawi kweli, mchawi anatakiwa aweze kuniroga hata hapa JF.
 
Unarudi kule

Unarudi kulekule kwenye uwepo wa vitu usivyo weza kuvielezea uwepo wake ila vipo... Whether uchawi ni tricks au la ila upo!
Kwa hivyo, kama mtu hajui mchezo wa karata tatu, akachezewa, akiwa haujui, anauona kama uchawi, mchezo wa karata tatu ni uchawi?

Mtu asiyeijua ndege inavyoruka, akiiona siku ya kwanza na kufikiri ni uchawi, ndege inakuwa uchawi?
 
Kwenye media sasa si ntu anaweza hata kujutumia hitman au chemist akutikie dawa kwenye chakula.

Kama kuna uchawi kweli, mchawi anatakiwa aweze kuniroga hata hapa JF.
Au sio ipo siku yatakukuta af utatubu....
 
Kwa hivyo, kama mtu hajui mchezo wa karata tatu, akachezewa, akiwa haujui, anauona kama uchawi, mchezo wa karata tatu ni uchawi?
Point ni kwamba hata kama haujui ila mchezo huo upo... Yeye akikataa inabaki kuwa ni ufahamu wake tu..
 
Kwenye media sasa si ntu anaweza hata kujutumia hitman au chemist akutikie dawa kwenye chakula.

Kama kuna uchawi kweli, mchawi anatakiwa aweze kuniroga hata hapa JF.
JF wananiangusha sana, ila labda wanaona hauko serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…